Yaani mngezikwala hata km 5 ....ingekuwa Sherehe kubwa kwa dementia Kibabu pale DC ...na ndio maana wanatokea kuongea kwa terminology za kijana Jana ionekane wanalo jambo la msingi...hii yote ni kujustify upigaji deal wao uendelee ...
Ukros are literally annihilated
Videos zipi ...waruhusuni MSM yenu Washington Post wako karibu na frontline watuelezee mkuu habari ya edited video za computer lab ..hata my 10yr old kid can do that Mkuu
and what would you expect the purpetier to say ...demonstrable success [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] what a bunch of clowns ....
Wagner ni ..Private Security company...ambao anapata contract za ulinzi ...sasa wao kuajiri ni sawa na Garda world hapa akatangaza kwenye mabango anaajiri ...hivyo WION kuitumia hii kama reflecton ya Jeshi la Serikali its totally misleading....
Naomba nikusahihishe Mkuu ..actually the West is being played at its home turf ...LNG haiataweza ku match up ..operational wise na cost wise ..Natural gas pipes ..kama umeenda na huu uzi ..wakuu huko walikwishatusaidia hizo hesabu ..so don't go there ...its expensive na unaposema zimekula market...
There is no way on earth they could achieve thqt ...not even in their wildest dreams [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani ni sawa na kusema watumiaji wengine wote waache kutumia ili hao suppliers wakawauzie wao tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
on top of that...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.