Acha uhuni wewe,Yule mtoto wake wa mwanza ni mlokole na sio mganga
Alikuwa mfanyabiashara Songea na Mbinga,Duka lake lilikuwa Mbinga
Mimi nimekaa hapo kwa Mwakipande sana tu
Kama ni mzoefu wa huko ,unachukua boda boda tu mpaka kwa Mwakipande toka pale Ikonda
Mbona alikuwa waziri mkuu udsm.
Wao na akina Silinde na odong odwar plus Bush ndio walileta migomo na changes kwenye bodi ya mikopo ya sasa
Mkuu sio kila mtu haifahamu udsm,
Ondoa ujinga wako hapa
Summarize uandishi wako,Unaandika maneno mengi mno hueleweki lengo lako?
Jaribu kupangilia lengo kuu mwanzo mwa uzi wako
Mara unaitwa Sukuma Gang
Mara 2010 damu zilimwagika sana
Mara JPM 2015 kwani aliharibu uchaguzi
Mara Makamba Je ataachia jimbo la bumbuli
Ulimwengu wa sasa unahitaji...
Hapo ujue umepigwa na kitu kizito.umeibiwa
Mchunguze mkeo labda kama weupe wake ni wa mchongo,Pengine mkeo sio mweupe ila alijichubua enzi zake kwa kunywa madawa ya kubadili rangi
Muungalie vizuri miguuni hana weuse kwenye ugoko au mikononi,Wanawake wengi wanajichubua
Ulizia vizuri...
Tatizo matumizi ya sponji na nailoni mkuu
Wanageuza chapati kwa kutumia vipande vya godoro ambavyo vinashikamana na chapati
Maana yake watu wanakula visponji
Bado una Emotion ,Punguza preasure
Tatizo lako unataka mawazo yako unayowaza ndio yawe mawazo ya wengine
Mara nyingi watu wasiojiamini kama wewe huwa wanakimbilia kulazimisha hoja moja yenye mapungufu na kuacha maana halisi ya mjadala
Hakuna logic unayotoa ,Hata Rais Mwinyi hajathibitisha...
Unajiita Mkristo wakati wakatoliki wao ndio waanzilishi wa ukristo mpaka Biblia wameandika wao
Sasa unabishana na mkatoliki aliyeandika biblia na kuisambaza
Bibilia yenyewe ni kubwa sana ,
Watu walipokimbia katoliki akina Martin luther wakapunguza vitabu
Acha kuchekesha watu mkuu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.