Kama kweli Urusi kapeleka silaha Iran basi ni Kwa ajili ya USA,maana inasemekana USA kapeleka wanajeshi huko.
Kinachowatenganisha Urusi na Israel ni USA.
Mahala popote alipo USA basi Urusi atakua kinyume chake.
Na mahala popote alipo Urusi basi USA atakua kinyume chake.
So kama USA atakua...
F-16s no ‘magic pill’ for Kiev – Kremlin
Western-supplied fighter jets won’t have a significant impact on the battlefield and will be destroyed, Russian presidential spokesman Dmitry Peskov has said
The recent reported delivery of Western F-16 fighter jets to Ukraine will not have a...
‘God is with us’: WATCH new Russian Army recruitment video
The clip promotes military service while focusing on religious diversity and national unity
The Russian Defense Ministry has released a promotional video designed to encourage citizens to enlist in the military, placing strong emphasis...
Mkuu nakupa heshima zote kwa andiko hili.
Kwa kukuongezea TU juu ya nondo zako hizi ulizotoa ni kwamba Sasa hivi sio muda wa ubishi Tena.
Bali Sasa hivi ni kufuatilia TU kinachotokea uwanja wa vita huko Ukraine na kuona matokeo.
Kabla ya vita na mwanzo wa vita tulidanganywa sana juu ya ukuu wa...
Hivi vifaa vilitangazwa sana kabla havijaletwa uwanja wa vita,lkn Sasa vimekua chakula ya moto wa Urusi.
Watu walitumaini zitabadili mwenendo wa vita.
Tunasubiri tuone ndege F-16 zitabadilisha Nini.
Uzuri wa vita hii inatupa majibu ya ubishani wa miaka mingi juu ya uwezo wa kijeshi baina ya...
https://vm.tiktok.com/ZMrHQSAQx/
Uko sahihi kabisa Mkuu.
Huyo alietoa hizo namba za askari wa Marekani waliouliwa na wanajeshi wa Urusi ni 100,000.
Alietoa hesabu hiyo ni Col Douglas Mac Gregory ni mwanajeshi mstaafu wa USA.
Who won the war between Afghanistan and America?
On the same day, the last president of the Islamic Republic, Ashraf Ghani, fled the country; the Taliban declared victory and the war was formally brought to a close. By 30 August, the last American military aircraft departed from Afghanistan...
Maduro Wins Venezuelan Presidential Election - Electoral Council
3 hours ago
CARACAS With 80% of protocols processed, Venezuelan President Nicolas Maduro has received 51.2% of the votes and won the presidential election, Elvis Amoroso, the chairman of the National Electoral Council of...
Unajua hata sijakuelewa,kwa sababu umeongea kwa mafumbo,huu ni mjadala wa wazi,hatuko hapa kubishana,Bali kuelimishana na kupashana habari.
Unaweza kuwa una hoja lkn umejikita kwenye ubishani wa kitoto.
Labda kwa kukusaidia na wewe ni kwamba mtoa mada alikuja na habari nzuri TU ya kutujuza lkn...
Mie nafikiri wewe ndio umeelewa kitoto,hivi kweli hujui lengo la vikwazo Vyoote alivyowekewq Urusi Nia ilikua ni kumpigisha magoti,?
kama huelewi hilo basi una shida.
Ok USA alifanya operation ya kijeshi huko somalia kukabiliana na waasi akina General Mohamed Farah Aideed na Akina General...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.