Recent content by laizerg

  1. L

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Ya zamani sana hii picha, sema inawatosha.
  2. L

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Wewe nawe kichwa Kina shida, majumba yako wapi wakati unamuona dalali anahangaika kulitafutia wateja Hilo eneo. Yaani video zako ni za madalali tu halafu unasema eti Kuna majumba.
  3. L

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Mahotel yapi Dodoma??
  4. L

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Kwani UDOM ipo CBD mbona unajitoa ufahamu
  5. L

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Kwanza apartments hatukumalizana mnaruka ruka tu, haya leteni na hotel ila kama ni Dodoma peke yake Bora muache tu, ongezeni za mbeya, njombe na songea.
  6. L

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Ka Kama majengo ya vyoo vya shule
  7. L

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Ndo muanze kuleta picha muone mtakavyoogea za uso
  8. L

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Umeanza kupagawa hapo ni the Ryan's bay. Mwanza Ina vitu vingi mno tatizo mmepewa hadhi ya Jiji kisiasa basi mkavimba vichwa kwa projects za serikali na taasisi zake
  9. L

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    - sekou toure -bugando uhuru hosp agakhan hosp -hundu Mandal hosp -Royal hosp -Tanzanite hosp -mwananchi hosp -CF hosp _ wachina Hawa -Tanzanite hosp -kamanga hosp - mwanza hosp -rainbow hospital - n.k
  10. L

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Njoeni kwenye hotel, hospitali, na kichwani pia maana tushawajua nyie ni weupe tu. Kwanza sisi ndo tuliamua Dodoma kuwa Jiji kupitia kwa JPM
  11. L

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Waongezee ° antelope hotel ° hadjens hotel °holmand and tours hotel ° mipa hotel °tilapia hotel ° la kairo hotel ° monarchy hotel ° the lahe hotels °victoria palace hotel °G&G hotel ° vizano hotel ° n.k
  12. L

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Hebu fikiria kwa mapana neno uloandika ........sio home of great pictures....... Hapa unajiita una akili. Tafakari kwa kina utuambie unamaanisha Nini?. U get the picture? 😁.
  13. L

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Fact zako ni zipi kwa mfano mbona kama hujasoma au ulipiga ada ya mzazi ukaambulia GPA ya 1.5?. Sikuelewi ni fact zipi unamaanisha. Kuorodhesha hotel za Dodoma ndo facts kwako?. Hemu kwanza usipende kujiita Mzee wa facts, u don't deserve.
Back
Top Bottom