Naamini muda mwingine kunyimwa kunaweza kukulinda na kukuepusha na mambo hata wewe mwenyewe ungeyajua ungeomba ubaki tu ulivyo. Tusiwe wepesi wa kulalamika na tusipime neema zetu kwa kuangalia neema za mwingine kwasababu itakuzuia kuona baraka zako na kuishia kujiona huna bahati na kukufuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.