Recent content by KIRUMO

  1. K

    Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

    Unasemaje juu ya ongezeko la bei ya mbolea? Kuna kicheko kwa wakulima?
  2. K

    Viongozi wa dini hamjashtuka bado suala la usajili wa miaka mitano?

    Nadhani in the long run it will!
  3. K

    Casual observation yangu ni kuwa watu wamefurahia adhabu ya Halima na wenzake 18

    Hawana maelezo kwa maswali ya msingi. Je ni kweli Tanzania bara wapinzani walipata viti viwili tu? Je sasa hili ni bunge la chama kimoja au vyama vingi? Lakini pia nafsi zinawasuta kwa jinsi walivyofeli kusimamia uchaguzi. Maswali kama kuhusu kura nyingi zilizokamatwa zikiwa tayari zimepigwa...
  4. K

    Chama tawala na Wapinzani Tanzania siasa zenu zinayumbisha Wananchi

    Ndugai na serikali hawalali usingizi. Wanajiuliza na hawapati jibu. Je, hili ni bunge la chama kimoja au vingi? Wakiulizwa wasemeje? Je kuna Demokrasia ya uwakilishi au hakuna? Je wabunge wa kuchaguliwa 264 wa vyama vya upinzani huku bara ni wawili tu? Hii inawasumbua sana kiasi cha kujaribu...
  5. K

    Mimi ni mwanachama wa CHADEMA, lakini Siwezi kumnanga Halima Mdee nampenda sana

    Lakini Mbowe aliwaachia mlango wa kurudi tena chamani!
  6. K

    Casual observation yangu ni kuwa watu wamefurahia adhabu ya Halima na wenzake 18

    Hivi wakisema wanaanzisha chama kuna mtu atawafuata kweli?
  7. K

    Uchaguzi 2020 Nimeamini watanzania wameamua kufanya mabadiliko!

    Wakati nchi nyingine zinamlilia na kumtamani, humu nchini kuna familia ambazo watu wao walitekwa na hajui walipo na hizi zinalilia dola ya magufuli kwa utekaji na uuaji. Azori Gwanda aliacha mke akiwa mjamzito amvaye sasa ni mjane na watoto yatima. Hawa wanalia na kulaani dola hii.
  8. K

    Uchaguzi 2020 Lushoto hajulikani nani atashinda 2020

    Mtu mzima ovyo!!! Koma kumchuria binti wa mwenzio!!!
  9. K

    Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28: Ujio wa Dkt. Magufuli mikoa ya Kaskazini wawa gumzo!

    Kweli? Watu wa Kanda ya Kaskazini wa macho yanayoona. Wana bongo zinazifanya kazi! Hawadanganywi kwa zawadi za peremende! Mleta uzi pole sana!!!
  10. K

    Uchaguzi 2020 Tuache Ujinga, Tanzania sio Uingereza

    Watanzania hawana furaha ingawa hatuko vitani. Watanzania kwanza hawana amani ila wanaimani kwamba haya nayo yataisha siku fulani. Watanzania hawako huru katika nchi yao. Hawako huru kusema wanayotaka bila kuhofu kukamatwa. Waandishi wa habari na raia kwa ujumla hawako huru. Mtu aliyebanwa hana...
Back
Top Bottom