Morinho is a whiteman outside but his blood is African. Kaongea ukweli mtupu,Afcon hakuna penalty rahisi,ndio maana mashindano yamevutia sana.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kwa kifupi samadi ni muhimu kwenye shamba lolote uwe unapandia pamoja na mbolea za dukani ama laa! Japo km samadi ni nyingi naya kutosha hakuna haja ya kuongeza gharama za uzalishaji kwa kununua tena mbolea za viwandani.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kabla ya kulaumu ni vema ukajua majukumu mtu mwenye Phd yepi.Mtu mwenye Phd si mtu wa kuzalisha,huyu ni mtafiti na kazi yake kubwa ni kusafiri na kutembelea sehemu mbalimbali kuangalia nini, vipi na kwanini watu wanafanya halafu analinganisha na kutoa matokeo na kushauri nini kifanyike. Kazi ya...
Wataalamu wa sheria hivi sheria inasemaje kama mtu akiokota kitu ambacho si chake? Je ni sawa akiking'ang'ania hata ukijua kuwa ndie alieokota?
Kuna mtu ameokota simu yangu baada ya kumpigia akapokea na akanielekeza sehemu nimfate. Nilipomfuata nikamkuta na simu ila akataka nimpe hela ndio...
Matokeo ya kidato cha nne yaliyotolewa hivi karibuni yanaonyesha ufaulu kupanda sana. Hadi somo la hesabu nalo grafu yake imepanda sana.
Je, ndio tuseme mwaka huu watoto wamesoma sana na kuelewa vizuri?
Sina hakika na hilo, lakini nakukumbusha tu Mtanzania mwenzangu huu ni mwaka wa uchaguzi...
Kweli tumuombee ulaya beki au kipa kununuliwa ni ngumu sana. Japo hata hizi fununu zitosha kuonyesha kuwa ni mchezaji mzuri.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Nimefatilia vizuri mashindano ya AFCON yanayoendelea kule Ivory cost, nikagundua kama huna wachezaji ambao wako fiti kwa maana ya nguvu, utimamu wa mwili,wenye maumbo makubwa na waonajituma ni ngumu kushinda mechi. Lazima uwe na wachezaji ambao wako fiti kweli kweli na wenye "spirit" ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.