Wajumbe toka zanzibar (15) wote ni waislamu, wajumbe wengi toka Tanzania Bara ni Wakristo. HIvi kweli Zanzibar kuna wakristo wangapi??? mimi nadhani udini hapa haupo. Mimi ni Mkristo lakini hoja ya udini siioni. NInachoona mimi ni kumfanya Augustino Ramadhani kuwa Makama Mwenyekiti, hasa...
Serikali yetu juzi ilikimbilia mahakamani kupata uamuzi kwamba mgomo wa madaktari ulikuwa batili. Mimi naomba tafsiri sahihi ya mgomo kwa sababu mgomo niuonavyo mimi ni mapambano kati ya mdai na mtoaji wa haki. Ninapoamua kugoma ni kama kuingia vitani na sitegemei mtu yeyote au mamlaka yeyote...
Hapo mwanzo palikuwepo na Serikali na Tanganyika. Pakawepo Serikali ya Zanzibar. Kisha wakaja wajanja wakatuambia tutafaidika sana tukiwa na Serikali ya Muungano wa nchi mbili tanganyika na Zanzibar. Lakini wakatuambia sisi watanganyika si kitu. Kitu ni Wazanzibari. Tukakubali tukaingizwa...
Kitu kikipigwa stop, wakati mwingine kinaashiria kwamba kilikwishaanza kuwepo. Hizi posho naona tayari watu wengine walikwisha kula. Nani anakagua matumizi ya fedha za Bunge?? Tuelezwe nani alikwisha kula, kwa idhini ya nani, na adhabu yake ni ipi????
Ukiacha Wanavyuo, watanzania ni waoga wa kugoma. Nikumbusheni ni lini watanzania wamegoma na kushinikiza serikali yao ikubaliane nao. Fikiria ni serikali gani inapandisha bei ya umeme kwa asilimia 40, kama si kujua kwamba hakuna chochote kitakachotokea.:canada:
Kuna hawa waheshimiwa wanaotaka kuipeleka Serikali mahakamani kudai kwamba kodi ya magari machakavu ni ya kibaguzi kwa vile iinabagua watu masikini dhidi ya matajiri.
Ukinunua gari lililotumika miaka kumi au zaidi unalipia kodi kama asilimia 20. Ukinunua jipya hulilpi kodi hii. Mimi nawaunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.