Recent content by Jembemtaji

  1. Jembemtaji

    Ukishangaa ya Q-Net utayaona ya JATU

    Kwanini serikalini inaruhusu vitu kama ivi.
  2. Jembemtaji

    Ukishangaa ya Q-Net utayaona ya JATU

    Hatari sana kwanini usifanye biashara mwenyewe.
  3. Jembemtaji

    Ukishangaa ya Q-Net utayaona ya JATU

    Kuna ndugu yangu wa karibu alinunua hisa za kampuni inaitwa JATU wakijinasibu kuwalimia watu na kuwauzia mazao yao wao wasubiri faida tu. Kilichotokea hisa wamenunua mazao wameuza kampuni imesema haina uwezo wa kulipa kila mkulima hela kulingana na mazao walioyouza. Wakati huo huo wanasema...
  4. Jembemtaji

    Mwaka mmoja tokea kifo cha Hayati Rais Magufuli

    Ndio ivo tutaenjoy ye kajiendea zaķe
  5. Jembemtaji

    Natafuta ufadhili kwenye NGOs

    Naona wadau hakuna kabisaaa
  6. Jembemtaji

    Natafuta ufadhili kwenye NGOs

    Taasisi ipo Dar es salaam.
  7. Jembemtaji

    Natafuta ufadhili kwenye NGOs

    Habari wadau,natafuta mtu anaejua namna ya kupata ufadhili au mfadhili wa ndani au nje ya nchi. Nina taasisi imesajiliwa kutoa elimu nje ya mfumo RASMI pamoja na mafunzo ya ufundi. Changamoto ninazopitia ni gharama za kuendesha sijawaipata ufadhili wowote. Ivo kama kuna mdau anaweza kunisaidia...
  8. Jembemtaji

    Information technology (IT): Naomba mnisaidie chuo Cha private kinachotoa course za IT hapa dar

    Jaribu pia UKOMBOZI EDUCATION INSTITUTE kiko mbezi ya kimara sina taharifa zaidi naona tu matangazo yao
  9. Jembemtaji

    Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

    Dini ni kwa mataira tu,waliozaliwa na ubongo timamu hawana dini na ikitokea mwenye akili ana dini basi jua kuna miradi anataka kufanya kupitia iyo dini.
  10. Jembemtaji

    Tahadhari: Kwa watafuta ajira usijaribu kuomba wala kufanya kazi hospitali hizi jijini Mwanza

    Ukiona kila sehemu unayoenda inanuka kinyesi, basi jikague kwenye boxer inawezekana umejinyea bila taharifa. Ungekua na akili ungejiuliza kwa nn hospital zaidi ya 10 ziwe na shida inayofanana? Changamoto ni khali ya uchumi ni mbovu kwa wateja not managements.
  11. Jembemtaji

    Mtoto wa tajiri shule ya sekondari Scolastica katika kashifa

    Wakenya wanafanya kazi wewe na wenzako ni wavivu,wezi,wanafiki na wapika majungu acha mtengwe malofa nyie.
Back
Top Bottom