Binafsi Sina shida na wale wanaoingia kwenye mabasi pale yanapofika kwenye vituo vya mapumziko ambapo abiria wengine hushuka kununua wanachohitaji na wengine huamua TU kubaki garini.
Uchumi wa kibepari ni kama wa kikamari_kamari. Eti Leo asubuhi unaamka bilionea namba mmoja duniani na jioni unaenda kulala wewe sio bilionea tena baada ya hisa za kampuni Yako kuporomoka kiasi cha kutisha
Halafu kama kawaida Hawa wakuitwa "watoto haramu" wanakuwa kopi kabisa 100% ili jamaa asije kataa. Ona huyo Joseph Baena alivyofanana na baba yake hapo, tofauti kabisa na watoto wa kwenye ndoa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.