Recent content by Hazina

  1. Hazina

    Wastaafu wanaolipwa pensheni na Hazina kuhakikiwa

    Wizara ya Fedha na Mipango inatarajia kufanya uhakiki kwa wastaafu wanaolipwa pensheni na Hazina kwa lengo la kuhuisha taarifa zao. Uhakiki huu utafanyika katika wilaya zote Tanzania bara na Visiwani kuanzia tarehe 07 Desemba, 2020 hadi tarehe 07 Machi, 2020. Wastaafu watahakikiwa kwenye...
  2. Hazina

    Waziri Mpango awateua wajumbe wawili watakaoiwakilisha Serikali kwenye Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya madini ya Twiga

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), amewateua wajumbe wawili watakaoiwakilisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Madini ya Twiga (Twiga Minerals Corporation Limited). Wajumbe walioteuliwa ni Bw. Casmir Sumba Kyuki...
  3. Hazina

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) yaipatia Tanzania Mkopo wa Masharti Nafuu kiasi cha shilingi trilioni 1.14

    Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James (kushoto), akisaini Mikataba mitano yenye thamani ya Dola za Marekani 495.59 na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), Alex Mubiru (kulia) katika hafla iliyofanyika Benki Kuu Jijini Dar es Salaam. ———— Tanzania na Benki ya...
  4. Hazina

    Philip Mpango: Hali ya Uchumi wa Taifa Mwaka 2019 na Tathimini wa Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu Mwaka wa Fedha 2019/20

    December 31, 2019 Dodoma, Tanzania Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuhusu ya Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2019 na Tathimini ya Awali ya Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/20 By Dkt. Philip Mpango (Mb.) Waziri wa Fedha & Mipango 31 Desemba, 2019 - DODOMA 1...
  5. Hazina

    Dr. Mpango: Hali ya Uchumi ipo imara, deni la Taifa laongezeka na kufika trilioni 49.37

    30 Dec 2018 Dare es Salaam, Tanzania HALI YA UCHUMI IPO IMARA - DKT. MPANGO Tanzania Yaongoza Kiuchumi Kwenye Nchi Za SADC Waziri wa Fedha na Mipango Dr. philipo Mpango Akitoa Taarifa ya hali ya uchumi wa taifa na utekelezaji wa bajeti ya serikali kwa kipindi cha nusu mwaka amesema kuwa...
  6. Hazina

    Dkt. Mpango awasilisha bungeni mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa na mwongozo wa maandalizi ya mpango na bajeti ya mwaka 2019/20

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA 2019/20 UTANGULIZI Mheshimiwa...
  7. Hazina

    DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

    Na Benny Mwaipaja, WFM - Dar es Salaam WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amefanya ziara ya kushitukiza katika eneo la kuhifadhia makontena-Bandari Kavu Dar es Salaam (DICD), na kukagua makontena 20 yaliyoingizwa nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na kuiagiza...
  8. Hazina

    Serikali yatolea ufafanuzi wa mafao ya watumishi wa Serikali kuu kabla ya PSPF

    Serikali imesema kuwa watumishi wote wa Serikali Kuu walioajiriwa na kuthibitishwa katika ajira ya masharti ya kudumu na pensheni, kabla ya mwaka 1999 waliunganishwa katika Mfuko wa Pensheni wa PSPF kwa mujibu wa Sheria. Hayo yameelezwa Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango...
  9. Hazina

    Hotuba ya Bajeti Wizara ya fedha na Mipango, Makadirio ya Mapato na Matumizi 2018/2019

    HOTUBA YA MHE. DKT. PHILIP I. MPANGO (MB.),WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO KWA MWAKA 2018/19 DODOMA JUNI, 2018 1.0 UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, kutokana na taarifa iliyowasilishwa ndani ya...
Back
Top Bottom