Recent content by GadoTz

  1. GadoTz

    Nafasi za Kazi - Sales and Marketing

    Mjadala wa mshahara utafanyika wakati wa usahili.
  2. GadoTz

    Nafasi za Kazi - Sales and Marketing

    Masoko na mauzo ya digital product.
  3. GadoTz

    Nafasi za Kazi - Sales and Marketing

    Tunatafuta vijana waaminifu na wachapakazi ambao watakuwa tayari kufanya kazi Dar es Salaam, Dodoma na Arusha. Ambaye yupo tayari kufanya kazi kwenye timu yetu ya Sales and Marketing anakaribishwa kutuma maombi. Vigezo: Awe na umri usiozidi miaka 34. Awe na uwezo wa kuongea na kuandika lugha...
  4. GadoTz

    Mwaka 2018 ulikuwa wa Harmonize, 2019 utakuwa wa Mbosso na Marioo

    Kiba ana wasanii wakali sana hila bado branding ya project zao inamsumbua.
  5. GadoTz

    Mwaka 2018 ulikuwa wa Harmonize, 2019 utakuwa wa Mbosso na Marioo

    Aslay mwaka ulioisha haukuwa mzuri sana kwake, ni kama amefika sehemu amegota aendi mbele wala harudi nyuma. Akijipanga upya akubali kupinduka kidogo atatisha sana next year.
  6. GadoTz

    Mwaka 2018 ulikuwa wa Harmonize, 2019 utakuwa wa Mbosso na Marioo

    Ningekuwa mpuuzi nisingepewa heshima na JF ya sticky kwenye uzi wangu www.jamiiforums.com/threads/hip-hop-facts-thread.1007181/page Nakushauri pitia nyuzi zangu utajifunza kitu.
  7. GadoTz

    Mwaka 2018 ulikuwa wa Harmonize, 2019 utakuwa wa Mbosso na Marioo

    Mwaka 2018 ndio unaishia hivyo na kwenye kiwanda cha burudani haswa bongofleva tumeshuudia mengi yakukumbukwa. Kikubwa zaidi ni msanii Harmonize kufanya maajabu na singo yake KwaNgwaru, hakuna atakaebisha Kwangwaru imekuwa ni wimbo bora kabisa kwa Tanzania na East Africa na Harmonize amegeuka...
  8. GadoTz

    Hip hop Facts Thread

    Ujasoma vizuri ukaelewa bro!
  9. GadoTz

    Mbosso(WCB) vs Aslay, nini kitatokea?

    Hapa nazungumzia vipaji vyao sio mavazi.
  10. GadoTz

    Mbosso(WCB) vs Aslay, nini kitatokea?

    Muziki unaitaji ushindani ndio unaweza kusonga mbele.
  11. GadoTz

    Mbosso(WCB) vs Aslay, nini kitatokea?

    Muda utaongea na utatamani kufuta kauli yako.
  12. GadoTz

    Mbosso(WCB) vs Aslay, nini kitatokea?

    Kwa wasiomfahamu Marombosso ni kijana hapo kwenye video, ambae alikuwa miongoni mwa wanaounda Yamoto band. Kwa sasa ametoka kupitia WCB. Wakati yupo Yamoto walikuwa wanachuana vikali na Aslay na inasemekana ni moja ya sababu kundi kuvunjika ni hivi vipaji viwili. Kwa kutazama muono wa mbali...
  13. GadoTz

    Hip hop Facts Thread

    Walk on water kwa mara ya kwanza inawakutanisha Eminem na Beyonce kwenye wimbo. Kinanda kinachosikika amepiga Skyler Grey singer na songwriter ambaye pia aliandika chorus ya love the way you lie
  14. GadoTz

    Tanzia: Team Diamond, Nevvo Msafi na Platnumzmond wafariki dunia

    Wapumzike kwa amani. Mahala pema peponi.
Back
Top Bottom