Prof Kibogoyo mimi naishi jirani na hizo nyumba, kwa nini nimesema mfuko mmoja wanatoa tofali 80, kinachofanyika pale gari linaposhusha trip ya mchanga wao humwagia cementi kwenye mchanga huo bila kupima idadi ya mifuko ya cementi kulingana na wingi wa mchanga. Kama unaishi maeneo hayo ni pm...
Dada yangu huo ndio ukweli na ukweli utatuweka huru. Mamlaka zinazohusika na ukaguzi wa majengo wamelala usingizi wa pono. Kuhusu maafa, eneo la mbagala na viunga vyake ikiwemo Chamazi ni maeneo yenye ardhi ya mchanga hata mvua inyesheje Dsm hii kamwe hutosikia mafuriko mbagala wala nyumba...
Chamazi hakuna tatizo la bomoa bomoa LAKINI nyumba zinazouzwa ni za wale JENGA UZA. Nakutahadhalisha, bei ni ndogo kwa sababu zifuatazo: (1) Msingi wa nyumba ni tofali 3 (2) vyumba havichimbwi msingi (3) mfuko mmoja wa sementi tofali 70 mpaka 80 (4) wanakoleza sana rangi lakini baada ya miezi 4...
Bro bahati mbaya kwa makanisa yetu ya leo ni kwamba Maaskofu wa Makanisa haya wengi wao wakiwemo wachungaji na mashemasi ni wale ambao maisha ya kawaida yamewashinda kasha wanatafuta fursa kupitia dini. Kuna utitiri wa vibanda vya makanisa kila baada ya mita 300 kuna kanisa. Wengi wao ni...
Pia ni nani aliyetoa jina Africa??? Ni nani aliyetuita Waafrika??? Hapa kuna conspiracy kuficha historia ya mtu mweusi. Binafsi naamini na nitaendelea kuamini kwamba Waisrael wa leo sio wale waliotajwa kwenye Biblia na kwamba Binadamu wa kwanza aliishi Afrika na kama ndivyo hivyo Adam na Hawa...
Ndugu yangu, you're very wrong. Mimi ni mkristo, niseme Hakuna Mungu wa wakristo peke yao wala Mungu wa waislam peke yao wala Mungu wa wayahudi peke yao. Mungu ni wa wote. Jerusalemu sio mji wa wakristo bandika ushahidi wa biblia hapa yaani unakoelekea unataka kutuaminisha pia kwamba Yesu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.