Recent content by FairPlayer

  1. FairPlayer

    Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

    Ila wabongo hatuna akili. Ukisoma humu unagundua hilo kwa uwazi kabisa 6 pages zimeandikwa pumba tupu
  2. FairPlayer

    Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

    Hawa walitenda kosa. Hata kama kulikua na figisu lakini KOSA lililowapeleka jela walilitenda.
  3. FairPlayer

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Atakua amekufa au amekua tajiri.. Lol
  4. FairPlayer

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Pamoja na yote Condor tulikua tunamzunguka na kuendelea ku post mpaka Mwanakijiji akatupa uhifadhi wa muda..
  5. FairPlayer

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Sasa ilikusaidia nini kaka?
  6. FairPlayer

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Yes. Sijui yupo wapi?
  7. FairPlayer

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Yule kaka yako Ngabu the nini yupo wapi
  8. FairPlayer

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    RajPatel na kiingereza chake na kukashifu waafrika!!! Una miss kutukanwa?
  9. FairPlayer

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Nguruvi3 mie nipo ila nimekua mzee sana kaka
  10. FairPlayer

    January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

    Ushahukumu kabla hamjampa jamaa nafasi ya kujitetea. Tupical wabongo. Kazi ipo. Basi kaa hivyohivyo endelea kuota. Hamna kipya wala lolote kitakachofuata
  11. FairPlayer

    JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

    Dah tumetoka mbali. KIRANGA yupo?
  12. FairPlayer

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    Bwana Phil Nadhani pia kipindi cha BCS internet ilikua kwa watu wachache na waliokua nayo walikua ni wanaojielewa kidogo. Sio kama sasa. Nani anamkumbula Me against Kikwete? Ingawa alibadili jina baadaye?
Back
Top Bottom