Nimeshuhudia mwenyewe polisi juzi wakienda eneo la tukio na jana wakiwa wamebeba mwili wa marehemu kutoka hospitali ya wilaya kwenda kuzika kata ya songwe! Kiujumla mamlaka zote zina taarifa ila linazimwa sababu ya maslahi!
Ikumbukwe pia kuwa walinzi wa huyu ndugu na mwaka jana pia waliua kijana aliyekuwa mpita njia na kusababisha machafuko makubwa sana na wananchi wa ubaruku na wakati wa kampeni za ubunge pia ndugu mwingine wa mbunge aligonga mtu na kuua wakati anarudi nyumbani kutoka kwenye kampeni na inasemekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.