Shukuru mungu una pesa ya kununua nguo kila unapokutana na machinga,wenzako walimu hawakumbuki ata mara ya mwisho wamenunu nguo ata ya mtumba ni lini.yani wamechoka mbaya wanavaa madaso tu
Hii kitu nadhani inawaathiri watoto ambao wazazi wao ni watumishi katika profession zingine ila sio walimu maana walimu pesa hawana , atm kwenda labda mara moja kwa mwaka. Na shida ndio nyumbani kwa walimu na familia zao.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.