Recent content by CK Allan

  1. CK Allan

    Ni haki yetu kutangaziwa kama tozo zimerudi kwenye malipo ya VING'AMUZI.. (Ada, Vat na Kodi)

    Tunamshukuru sana mheshimiwa raisi kwa kuwezesha tozo hiyo kwenye ving'amuzi
  2. CK Allan

    Uhamisho kwenye mfumo wa EES kwa watumishi wa umma

    Unaendelea na ngazi inayofuata, Kutoka kwa supervisor wako kwenda kwa huyo wa juu yake.. Mpaka unakamilika
  3. CK Allan

    Mei Mosi Kitaifa jijini Arusha na vioja vyake

    Kuna tatizo Gani mheshimiwa RAISI asiwepo?
  4. CK Allan

    Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile wa Mbeya akagua simu za waumini hadharani akiwa madhahabuni

    Mnamlaumu mchungaji Bure Lakini tatizo lipo kwa ELIYA, huwezi kutoa simu yako na password kiboya hivyo
  5. CK Allan

    Msigwa: Ufafanuzi wa suala la Simba

    Kiasi hicho hicho "TUTAKITOA" kwa Simba, Ili iweje? Na timu ishaenda
  6. CK Allan

    Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

    Kufunga ni pamoja na kushinda tamaa, Kama umefunga Lakini mtu akila ugali kuku mbele Yako unaona kama roho inataka kutoka .. Jikaze ndio mfungo huo
  7. CK Allan

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Yaani wewe umefunga Lakini ukimuona mwenzako anakula roho Yako inataka kutoka, unahangaika na hapo umetoka kula daku usiku yaani Duh
  8. CK Allan

    Makosa matano ya Wafilisti kwa Samsoni

    MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia) Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake! Kwa Lugha...
  9. CK Allan

    Kitu gani kinapelekea mshahara kutoka kwa mafungu awamu hii?

    Kwamba makusanyo ni machache?🤣
Back
Top Bottom