ZAKUMI,
tutashukuru kupata feedback zako kama umeona dosari yeyote kwenye website ama kwenye huduma zetu unaweza wasiliana nasi moja kwa moja info@gmconsultz.com ama unaweza kutupm ama hata ukiandika hapa we are read to be criticized, educated and hata kupongezwa. Karibu kwa maoni yako
Dear Caroline,
Nasikitika sana kwa kutoa habari zisizo na ukweli. Hatujawahi hata kumtoza mtu hata zaidi ya 5% na sijui hizo rate zako umezipata wapi.
Pole sana kama ulikutana na watu wengine wakajitambulisha wanatoka kwetu. Kwa hakika piga simu 0715737302 ama 0784 737302 utaongea na...
chukua kipande majani 2 ya mchunga, moja la gligilani ama mchai chai ponda kidogo kama mara 5, then weka kipande cha limau na ice cubes
mwisho mwagia Konyagi ni coctail moja nzuri sanaaa.
jaribu and waiting for the outcome.
Good analysis,
Ukiangalia kwenye hiyo picha ya gari la chenge, limeumia upande wa kushoto na sio kulia hivyo nikweli yeye ndie alikua anataka kovertake katika kutaka kurudi kwenye position yake ndio akahit hito bajaji.
Kama atasema alikua katika harakati za kuikwepa, maaana yaka alisogea...
Huu uozo na upikaji wa Takwimu ndio kilichotusdukuma kuataka kuanzishwa kwa chombo huru cha wachumi Ili takwimu kama hizi tuweze kuzichambua kna kutoa mwelekeo huru wa hali ya uchimi hapa nchini.
WACHUMI wenzangu huu ndio wakati wa kutumia taaluma yetu jkwa manufaa ya taifa.
Jinadikishe...
............I promise you, this is not funny....
A couple was invited to a masked costume Halloweenparty. The wife got a terrible headache and told her husband to go to the party alone.
He, being a devoted husband, protested, but she arguedand said she was going to take some aspirin and...
Waheshimiwa, Nashukuru kwa concern yenu.
Kwanza niseme kuna progress kubwa sana kwenye hili suala la kuanzisha hiki chombo cha wachumi. Mhusika mkuu anasema kutakuwa na mkutano wa kwanza wa brainstorming wa wachumi wote 22 March 2009. lengo litakuwa ni kujadili muundo, Katiba, na kazi za...
Poleni wafiwa wote.
Hili daraja linahistoria ya kutoa maisha. Tatizo ni hili eneo ni sehemu ya mteremko pande zote za daraja halafu kuna kona. Daraja linatosheleza kwa magari mawili makubwa kupisha, na both sides baada ya daraja kuna emegency exits. Lakini naona uzembe wa madereva ni...
Napenda kusema inawezekana 100% kuishi kwa kipato halali cha serikali.
Mimi binafsi nimefanya kazi kwa zaidi ya 4 serikalini katika rank ya kati TGS D tena kwenye mlango wa rushwa sikuwahi kuomba wala kupokea na nilikua naishi vizuri bila tatizo.
Kama tunahitaji kuwa na kanyumba ka kuishi...
Wakuu nataka kurecord the whole swearing ceremony in my PC but I Have no Idea how to do. Can one help in that please. Pili ama kama kuna watu wanaweza kurecord the whole event then tukapata nakala kwa ajili ya kumbukumbu itapendeza sana. Natanguliza shukrani
Cynic sio kweli,
Fuatilia hii link http://www.ewura.com/index.html na kwa kupata mwanga kila company lina market share kiasi gani, storage capacity kiasi gani, na other overhead costs za uiingizaji wa mafuta nchini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.