Recent content by bahati93

  1. bahati93

    Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

    Huu muucik una password, daah kweli kiumbe chenye mbunye Ni hatari sana. Embu fikiri una Pesa ndefu kama diddy afu kimanzi kimoja tu kinakuchanganya akili ... Mpaka unapandwa na mahasira. Huu mchezo hauhitaji hasira.. Za chini chini Ni kwamba Kuna kampun kubwa la vinywaji ndio lipo nyuma ya...
  2. bahati93

    Malaika watakavyokuja

    Malaika, viumbe wa mbinguni wanahitaji kufanya maboresho ya haraka sana ili kuweza kuwakabili waovu wa hii dunia pale watakapokuja na bwana. Malaika wamekuwa wakitumia Mapanga kama silaha yao kuu, lakini tangia waondoke zamani hizo mwanadamu kwa kutumia werevu wake katengeneza silaha kali sana...
  3. bahati93

    Depression inaniua

    Ucijali mwaya kulia ni tiba, mi huwaga nalia kama konokono barabara nzima nachora kamfereji.
  4. bahati93

    Internet Outage: Unatumia mtandao gani wenye nafuu kwenye hili janga?

    imerudi saa hivi voda, Haya yote amesababisha Mathanzua kwa kuleta solar frare bongo
  5. bahati93

    Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

    Uthibitishe nini tena wakati mwaka huu mtu kawekewa figo ya nguruwe huko amerika , apo sijaongea juu ya moyo waliopandikiza pia
  6. bahati93

    Jinsi mitumba inavyotuunganisha na watu tusiowapenda!

    Ni watawala wenye ufinyu wa mawazo utakuta waipigia upatu tusitishe kuchukua mitumba. Mitumba tunahitaji sana hasa nchi zetu za huku kusini, mtumba high grade unatufanya na sisi tuonekane watu mwana, sasa wee unataka kunivalisha libatiki mkono mmoja mnene mwingine mwembamba mimi ili iweje...
  7. bahati93

    Hamas yakubali pendekezo la kusitisha mapigano, wananchi wa Rifah washangilia

    Sijapata ona Kiongozi wa Ovyo kama hao wa Hamas, for what purpose kujaa kuongea uongo kwa Raia vitu ambavyo havipo,
  8. bahati93

    Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

    Weeeeeeh ngoja nikuibie SIRI binadamu vibonge wote unaowaona wenye matumbo makubwa na mavichwa kama ng'ombe wakifa roho zao zinarudi kama nguruwe! Inshort kadiri siku zinavyozidi kusonga na ndivyo navyozidi kuamini, kwamba yule mdudu ni binadamu! Macho ya binadamu Damu ya binadamu Figo ya...
  9. bahati93

    What was your favorite Game of Thrones battle?

    Hardhome my best
  10. bahati93

    Kwanini mtu kilaza huwachukia vilaza wenzie?....

    Ni kujistukia tuu, na kuona udhaifu ambao wanao hivyo kuukana
  11. bahati93

    Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

    Hawo jaamaaa ni zaidi ya tufikiriavyo, walikuwa na program inaitwaa remote viewing ukifwatilia utagundua ni washirikina
  12. bahati93

    Mfahamu daktari wa kwanza duniani "Hippocrites"

    Iv ndo huyuu alisema mwanaume ana meno mengi kuliko mwanamke
  13. bahati93

    Mataifa yatakayoendelea kuwapo baada ya vita ya 3 ya dunia

    Bro uko vizuri, lakini hichi ulichosema ndio cha kuogopa zaidi kwa mataifa ambayo raia hatujawahi pata mikiki ya vita. Ukweli ni kwamba developed country ni nchi zinazopenda usawa, zinazolinda maslahi ya mnyonge sasa endapo wakifutikaa baada ya vita kuna mambo yatafwata. Mojawapo ni Kama kuenea...
Back
Top Bottom