Recent content by AutoGuru

  1. AutoGuru

    Shida na Tatuzi katika Gari Thread

    II. TAA ZA KWENYE DASHBOARD 1. Battery Light: Taa hii inaashiria kuwa kuna tatizo kwenye mfumo wa betri. Inaweza kuwa ishara ya betri dhaifu, alternator isiyofanya kazi vizuri, au matatizo mengine ya umeme 2. Oil Pressure Light: Taa hii inaweza kumaanisha shinikizo la mafuta katika injini...
  2. AutoGuru

    Shida na Tatuzi katika Gari Thread

    01: Misfire Hii inatokea kwenye magari mengi kwa sababu mbalimbali. Kabla hujafungulishwa engine ukapigwa mpunga mrefu kwasababu ya changamoto hii jiridhishe kwanza kwa kufanya diagnostics na kukagua kwa msaada wa fundi mwaminifu kwenye vipengele tajwa hapa chini. I. Mass Air_flow sensor...
  3. AutoGuru

    Je, unapenda kuwa katika kampuni inayokulipa mshahara mkubwa au yenye hadhi ya juu sana?

    Kama unapopang'ang'ania ndio contract yao wanakuajili milele sawa.
  4. AutoGuru

    New fundi in town saying hello

    [emoji56] kabisa, limeshaanza kufanyiwa kazi.
  5. AutoGuru

    New fundi in town saying hello

    Uhakka kiongoz pa1 san
  6. AutoGuru

    BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

    Sa nan kakwambia umfate fundi wa namna hio kama sio huna hela. Au fanya nenda wheny companies kama toyota workshops ukiwakuta wa hovyo nipo pale. Mnaenda kwa mafund wa mchongo hana hata chet cha veta automotive au automobile na unaexpect good service. [emoji706]
  7. AutoGuru

    Je, unapenda kuwa katika kampuni inayokulipa mshahara mkubwa au yenye hadhi ya juu sana?

    Hadhi ya company na yenye vifaa vyote modern ninavyohitaji pia kila kitu kipatikane kwa wakati tena nifanye kazi kwa uhuru. Hapo kazi nachukua mshahara uwe medium.
  8. AutoGuru

    Mungu yupo, fikiria kuhusu mambo haya, usiseme hakuna ushahidi

    Stop this shit na upreach namna watu wataulithi huo ufalme hubili agizo kuu kama unahitaji kwel watu waelewe unaongelea nn. Imeisha io[emoji56]
  9. AutoGuru

    Ushuhuda, life starts at 40

    Hii ndio fact yenyewe maswala ya oooh cjui 40's. Ndio kuandik tu ktab cha njia tatu za kua tajiri na hela ya kupublish umekopa. Aaaah[emoji53]
  10. AutoGuru

    Kwa kweli Bongo bado sana

    Ona hii mtu nayo, nnawacwac ulikotoka pia ulikua gate kali
  11. AutoGuru

    Ushuhuda, life starts at 40

    Ngoja nifike 40's nione life inasemeje.
  12. AutoGuru

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Wanaliona sema wanasubr hela iwenyng walijenge kwa bilion 10 kama mengne inakua poa zaid.
  13. AutoGuru

    Aisee Dharau Zimezidi (ujobless kazi sana)

    Kaka kaaa kdogo mafta yashuke bei[emoji15]
Back
Top Bottom