Ni sababu gani inayomfanya Magufuli kuyaogopa maandamano ya Mange Kimambi. Kiukweli haya maandamano yanayozungumziwa kwenye mitandao ya kijamiina hasa kwenye Instagram ya huyu Mwanadada Mange pamoja na kwenye magroup ya Telegram inaelekea yanamyima usingizi na amani huyu Magufuli na Bashite...
Tiss ni shirika la kijinga halijawahi kutokea, lipo kwa maslai ya CCM. Sijui kwanini linaitwa usalama wa taifa, liitwe usalama wa ccm. Huyo Yeriko ni wakupuuzwa muda mwingine
Hawezi na hawajui watu wasiojulikana huko Lumumba na Magogoni watakavyomfanyia au kumteka.Return Of Undertaker Ogopa sana CCM unataka tukuokote Coco Beach kabla ya tarehe 26 mwezi wa 4?
Kanisa linatafuta ugomvi na Dikitekta uchwara, ngoja kwanza awatumie Uhamiaji na TRA. Wakishindwa hao watatumiwa watu wasiojulikana . Dikitekta anakila aina ya mbinu ya kuliangamiza hili Taifa yeye na Rafiki yake Uchwara Kagame
Magaidi wanawalinda wapo Ikulu, JWTZ ni jeshi la CCM. Lipokimaslai zaidi. Viongozi wake wote wana kadi za CCM na wanazilipia. Wakistaafu huko wanakuwa wakuu wa Mikoa na wilaya, wengine wanapewa mpaka nafasi za ubalozi. JWTZ wanakula mpaka pesa za UN za wanajeshi wadogo wanaopelekwa Kulinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.