Recent content by 1000 digits

  1. 1000 digits

    Utabiri: Mwaka huu hautaisha kabla ya Dola ya Marekani kufika 3000Tsh

    Lisu anasoma sana tunayoyaandika ndio maana anapata moyo na morali kubwa ya kutangulia mbele na kiwaambia wananchi haya tunayoyasema . Usiposoma na kujua mioyo ya watanganyika inataka nini utakosea sana. Mfano kwa sasa Mbowe na Lisu ni kama watu wa vyama viwili tofauti kutana na ukweli kwamba...
  2. 1000 digits

    Utabiri: Mwaka huu hautaisha kabla ya Dola ya Marekani kufika 3000Tsh

    Kika kitu kilianza kwenye maandishi ndio maana wenzetu wanapiga hatua. Wanaheshimu Idea na kusoma vitabu. Hata imani na matendo mema yanatokana na maandishi .
  3. 1000 digits

    Je, ni magaidi wenyewe ndio wanajifungamanisha na uislam au waandishi wa habari ndio wanaoufungamanisha ugaidi na uislam

    Kwani akienda motoni wewe utakosa wewe utakosa pepo au ni vipi? Mana Kwenye uislam ni wazi kuwa hakuna mtu anayechukua dhambi ya mtu mwingine? Ukiwasikiloza wanazuoni wa kiislmu utaweza kudhani kuwa uislam unawahamasisha watu kuhusu maisha ya ahera zaidi lakini ukweli ni kwamba uislam...
  4. 1000 digits

    Kuelekea 2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

    Inawezekana . hao uliowataja ndio vichwa vya siasa ndani ya chadema. Mbowe ana misimamo yake lakini hana uwezo wa kujenga siasa za mageuzi kwa awami hii ya siasa za kina JK, Makamba, Kinana na wanaófanana nao. Mbowe hana tofauti na JK na Samia katika siasa. Sasa utafanyaje uchaguzi katika...
  5. 1000 digits

    Utabiri: Mwaka huu hautaisha kabla ya Dola ya Marekani kufika 3000Tsh

    Siku hizi wanaopelekwa sio wakulima ni Marafiki na ndugu ,machawa na mahawara. Mafano tu vijana wanaomaliza Vyuo vikuu vya kilomo walitakiwa wapelekwe Kufundisha Kilimo JKT na Magereza badala ya kuendelea kulima kwa kusimamiwa kama jeshi iwe ni kuwajengea vijana uwezo na utaalamu katika...
  6. 1000 digits

    Utabiri: Mwaka huu hautaisha kabla ya Dola ya Marekani kufika 3000Tsh

    Nimetoa mfano tu lakini ni kwa kila zao. wakulima wetu hawana utaalam wa kulima na mazao kwa kowango kinachohitajika. wasomi wenye elimu ya kilimo sio wakulima . Wenzetu wanalima kama kazi na ajira ya muda wote . Sisi kwetu wasomi wanalima kwa kusikia kuwa bei imepanda . ikishuka hawalimi...
  7. 1000 digits

    Utabiri: Mwaka huu hautaisha kabla ya Dola ya Marekani kufika 3000Tsh

    Yaani utoe pesa uwalete wachina badala ya kuwapeleka watu wako wakapate exposure na utaalam ? China iliwapeleka Watu wake kwa maelfu kusoma Marekani miaka 50 iliyopita leo china inaikimbiza Marekani kwenye kila kitu. Nyerere aliwapeleka vijana wengi kusoma Urusi na Cuba na wengi ndio...
  8. 1000 digits

    Utabiri: Mwaka huu hautaisha kabla ya Dola ya Marekani kufika 3000Tsh

    Nchi ya ajabu sana . wanatuletea wakulima wa china kulima mihogo badala ya kuwapeleka vijana wetu wakajifunze namna ya kulima mihogo china kisha waje walime kwenye ardhi yetu wenyewe na kisha tuwauzie kwa pesa za kigeni.
  9. 1000 digits

    Utabiri: Mwaka huu hautaisha kabla ya Dola ya Marekani kufika 3000Tsh

    Hii nchi watangayika wamepumbazwa na wakapumbazika . Yaani nchi ina soko la ndani la watu mil. 65. Ina amani, ina raslimali za kutosha, imepakana na nchi Nane na Bahari inayopokea soko lote la Nchi za mashariki halafu Imegeuka kuwa nchi ya wachuuzi wasioweza hata kukusanya pesa za ushuru wa...
  10. 1000 digits

    CHINA: BYD waweka rekodi mpya wazindua gari linaloweza kwenda zaidi ya km 2000 bila kuongeza mafuta wala kuchaji na matumizi kidogo sana ya mafuta

    Dawa yao ni moja tu ! Wakisema Katiba mpya ni mpaka 2026 basi na Sisi tuwaambie uchaguzi uwe 2027 na sio 2025 bila katiba mpya. Hakuna kuwachagua bila katiba ya kutupa uhuru wa kupata viongozi bara na siasa safi . Ardhi tunayo watu tunao Siasa safi hatuna mana hatuna katiba inayozalisha...
  11. 1000 digits

    CHINA: BYD waweka rekodi mpya wazindua gari linaloweza kwenda zaidi ya km 2000 bila kuongeza mafuta wala kuchaji na matumizi kidogo sana ya mafuta

    Wenzetu wana serikali za wazalendo halisi wanaowaza Nchi yao ya China ,mila zao ,dini zao , utaifa wao, uchina wao na vizazi vyao kwa karne zijazo ,sisi tunawaza Uchaguzi ujao mitano tena na kutafuta misaada ya kushinda uchaguzi kwa kuuza mpaka vyanzo vya kukusanya mapato ya bure kama bandari na...
  12. 1000 digits

    UTEUZI Rais Samia Amteua na kumuapisha Mwigulu Nchemba kuwa mjumbe tume ya mipango

    Hii nchi ya Tanganyika haina mwenyewe. Niseheme ya kufanya anachotaka mkuu. Kosa kubwa lilifanyika awau ya pili labkuvunja katiba na sasa awamu ya nne kwa kuteua naibu Waziri mkuu . Nafasi ya Waziri mkuu ipo kikatiba na imeelekeza majukumu yake na upatikanaji wake lakini wameamuaakusudi...
  13. 1000 digits

    Hii kesi mdogo wangu ana haki au hana?

    Big up mkuu. Akili kubwa 👍👍👍
  14. 1000 digits

    Hii kesi mdogo wangu ana haki au hana?

    Yani mwanafunzi wa form six kwa nini atumie simu ya mwalimu kuwasiliana na wazazi wake. Form six anauelewa wa kutosha. Hili liangaliwe vizuri. Wapewe ruhusa ya kuwa na vitochi sio smartphone. Haya mambo yanatatiza mana Kuna kilio kikubwa cha watoto kulawitiwa au kubakwa na walimu . Hii ni...
  15. 1000 digits

    Rais Samia nashauri mteue Makonda Uwaziri Mambo ya Ndani. Ni jasiri na ndiye mrithi wa Sokoine aliyejitoa sadaka kuwatumikia Watanzania

    Katiba ni kijitabu tu. Mambo ya msingi hamzumgumzii katiba . Katiba iliyopo ni mbovu ikisimamiwa kilaini laini. Ita2anufaisha watawalq na mafisadi. Katiba iliyopo ni katiba ya kijeshi na inapaswa kusimamiwa kijeshi. Hakuna haki chini ya katiba mbovu inayowabeba watu wa juuu na kuwakandamiza...
Back
Top Bottom