Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

Dhana ya utawala bora Utawala bora ni dhana jumuishi inayohusisha ufanisi wa kiutendaji katika kusimamia raslimali za umma bila kuathiri misingi ya utawala wa sheria na upatikanaji wa haki za...
5 Reactions
1 Replies
679 Views
Upvote 7
Mimi ni Mariamu, mwanamke mwenye umri wa miaka 40, mke na mama wa watoto wawili. Kama mtoto, nilitamani siku moja kuwa mjasiriamali, lakini haikuwa rahisi sana kwangu. Nilipata elimu ya chuo kikuu...
1 Reactions
2 Replies
943 Views
Upvote 2
UTANGULIZI. Jeshi la polisi na uhamiaji ni miongoni mwa vyombo vya dola ambavyo takwimu zinaonesha ndio vinavyoongoza kwa kukiuka maadili ya kazi kwa kujihusisha na vitendo vya rushwa. Jeshi la...
2 Reactions
4 Replies
875 Views
Upvote 3
UTANGULIZI Kwa miaka mingi sasa sekta ya afya, masuala ya usimamizi wa fedha na kihasibu, manunuzi na mengineyo yamekuwa yakisimamiwa wa wahasibu ambao niwa kawaida kwa ajili ya biashara za...
7 Reactions
22 Replies
994 Views
Upvote 9
Mei mosi oyee! Ajira katika utumishi wa umma imekua ni ndoto ya wasomi na wasio wasomi wengi hapa nchini, wengi wa watu hawa hulenga ama kupata kipato na wengine kuhudumu kwa kutoa huduma takwa...
1 Reactions
3 Replies
472 Views
Upvote 3
Kitambulisho cha taifa hutumika kuthibitisha uraia wa mwananchi kwenye taifa husika. Lakini namna ulimwengu unavyoshuhudia ukuaji wa kasi kwenye sekta ya teknolojia ni vizuri kuboresha...
349 Reactions
331 Replies
24K Views
Upvote 757
BOMOA BOMOA YA MAKAZI KILIO CHA WATANZANIA Utangulizi Bomoa bomoa ya makazi imekuwa ni kilio kikubwa kwa watanzania. jambo ambalo limesababisha adhali nyingi sana kwa wananchi na...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Upvote 7
Habari za wakati huu ndugu zangu wote. Kufanya kazi kwa bidii ni jambo muhimu sana ambalo sote tunahitaji maishani mwetu. Haiwezekani kufikia malengo fulani makuu bila kufanya kazi kwa bidii...
13 Reactions
118 Replies
4K Views
Upvote 48
Back
Top Bottom