Stories of Change 2023

Awamu ya Tatu. Maudhui yanayolenga kuchochea mabadiliko chanya na kupelekea kuwepo kwa Uwajibikaji au Utawala Bora

JF Prefixes:

Uongozi ni mfumo rasmi ulikubaliwa na jamii ili kuendesha shughuli mbalimbali za kijamii Kwa manufaa ya jamii. Dhana ya uongozi ni mtambuka , mosi mfumo wa jamii unaweza amua namna ya uongozi...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Upvote 0
Je, Elimu ni ufunguo wa kufungua milango? Na ni milango ipi haswa, ya maisha? Kuna mwimbo maarufu uliimbwa ukisema Elimu ni mwanga, kana kwamba unatuangazia kwenye giza, na sio kwenye mwanga...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Upvote 0
Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza nini maana ya elimu wa kidato cha tano na sita (yaani "Advanced Level"), nilikuwa sipati majibu zaidi ya kwamba ni daraja la kujiunga na chuo kikuu (kama ufaulu...
9 Reactions
10 Replies
1K Views
Upvote 9
Miaka takribani kumi iliyopita nilipoteza ndugu ambaye alikuwa ni mhanga wa madawa ya kulevya na kilichotokea ni kuwa aliugua ghafla na alipofika hospitali walimpatia matibabu bila kujua kuwa...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Upvote 1
SERIKALI za Mitaa hutafsiriwa kama vyombo vya wananchi ambavyo huundwa kwa ajili ya kuwajibika kwa wananchi. Hapa nchini vyombo hivi vimeanzishwa kwa Ibara ya 145 na 146 ya Katiba ya Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Upvote 0
Bila shaka unawafahamu marafiki zako wengi wenye mawazo makubwa ambayo hawajafanikiwa kuyafanyia kazi kutokana na sababu mbalimbali. Hebu fikiri tena jinsi mawazo yao yalivyo mazuri na muhimu...
0 Reactions
2 Replies
489 Views
Upvote 2
Kuongeza uwajibikaji katika sekta ya elimu ni jambo muhimu sana kwa maendeleo ya nchi na ustawi wa jamii. Hatua za kuboresha uwajibikaji zinahitaji kufanywa katika ngazi zote za mfumo wa elimu...
0 Reactions
0 Replies
300 Views
Upvote 0
Afya bora kwa wote ni lengo muhimu katika kujenga jamii yenye ustawi na maendeleo endelevu. Utawala bora ni msingi wa kufanikisha lengo hili kwa kuweka mifumo imara na inayozingatia usawa katika...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Upvote 0
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUTUMIA TAKWIMU ZA MATOKEO YA SENSA KULETA MAENDELEO ENDELEVU KWA WATANZANIA Utangulizi Sensa ni zoezi la kuhesabu na kukusanya takwimu za idadi ya watu...
0 Reactions
0 Replies
274 Views
Upvote 1
Tangu kuanzishwa kwa teknolojia ya kidijitali, maisha yetu yamepata mabadiliko makubwa. Tunashuhudia mabadiliko haya katika kila nyanja ya maisha, ikiwa ni pamoja na sekta ya afya. Leo hii...
1 Reactions
1 Replies
182 Views
Upvote 2
Katika shule ya sekondari Muungano,mwalimu Ndamo alikuwa yuko darasani na alikuwa anamalizia kipindi katika somo la Historia,alikuwa anaacha kazi kwa ajili ya wanafunzi kuifanya na ndipo wavulana...
1 Reactions
2 Replies
196 Views
Upvote 3
Je, wajua kuwa afya ni miongoni mwa rasilimali muhimu? Kujali afya ya kila mmoja ni jukumu la kila mtu. Hivi karibuni, watu wengi wamekuwa wakiugua magonjwa yasiyoambukiza ambayo baadhi yao tuko...
1 Reactions
0 Replies
352 Views
Upvote 3
Utawala Bora ni dhana inayohusu utawala mzuri na wa haki, ukiwezesha ushiriki wa wananchi katika maamuzi ya serikali yao na kuimarisha mifumo ya kisheria na utawala. Inalenga kuendeleza utawala...
0 Reactions
0 Replies
311 Views
Upvote 0
“Mimi ni msanii, mimi ni msanii, Kioo cha jamii, kioo cha jamii, Mimi naona mbali, mimi naona mbali, Kwa darubini kali, kwa darubini kali.” Nani anakumbuka huu wimbo? Mimi ninaukumbuka sana. Enzi...
0 Reactions
0 Replies
412 Views
Upvote 0
Ukosefu wa ajira ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili vijana nchini Tanzania. Takwimu za Mamlaka ya Usimamizi wa Ajira (NEMA) zinaonyesha kuwa asilimia 16.1 ya vijana nchini Tanzania...
4 Reactions
3 Replies
451 Views
Upvote 5
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KULETA TIJA KWENYE SEKTA YA MICHEZO NA SANAA KWA MASLAHI YA UMMA NCHINI TANZANIA Utangulizi Sekta ya michezo na sanaa ina umuhimu mkubwa katika kuimarisha...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Upvote 1
Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wa Tanzania imebainisha masuala kadhaa ya uwajibikaji mbovu na udhaifu katika utawala katika taasisi za...
1 Reactions
1 Replies
402 Views
Upvote 4
Picha; The chanzo. UTANGULIZI Nchi zote duniani ikiwemo Tanzania, hofu ya ustawi wa maliasili inazidi kuongezeka kutokana na wimbi la ongezeko la watu duniani na changamoto ya mabadiliko ya tabia...
4 Reactions
10 Replies
932 Views
Upvote 16
Malezi ni jambo ambapo Kila mtu/mwanajimii anapaswa kulitimiza. Malezi pia hutafsiria kwa namna tofauti kulingana na mtazamo wa wahusika, ngazi za elemu na pia aina za kazi au kipato hivyo...
1 Reactions
0 Replies
712 Views
Upvote 1
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA: MSINGI WA MCHAKATO WA KATIBA MPYA TANZANIA KWA MASLAHI YA UMMA Utangulizi Katiba ni waraka muhimu unaounda misingi ya utawala na uongozi wa nchi. Mchakato wa...
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom