PS3 peke yake unaweza kuitoa kwa bei gani chief
Nitakuuzia kwa 280k Mkuu, nitakupa na HDMI pamoja na Pads zakuchezea.

PS3 ina Games zote kali eg. GTA, PES, Metal Gear Solid V, Bru, Resident Evil, God Of war, The Last of Us n.k

PS ina Magemu zaidi ya 20.

Asante.
 
Habari zenu ndugu zangu?

Ninauza TV mbili za inch 32 Brand Hisense na PS3 moja.

TV moja ni 200,000 nakupa na Wall Bracket pamoja na HDMI Cable.

Ps3 nakuuzia kwa 250,000 ina magemu yote mazuri, nakupa na Pad zake za kuchezea pamoja na HDMI Cable.

SABABU YA KUUZA HIZI MASHINE,
Nilikuwa nachezesha PS mtaani (DSM) lakini nimepata ajira na ninahama Mkoa.

Unaweza kuja ofisini kwangu kujihakikishia kama utapenda Mkuu.

Mali hizi ni nzima na mimi ndio mmiliki halali.

Hizi ni baadhi ya Picha kutoka Ofisini kwangu,

View attachment 2990899View attachment 2990900View attachment 2990901View attachment 2990902

Mawasiliano ni 0626753305
150K kwa tv ,mfukoni .0747464239
 
Habari zenu ndugu zangu?

Ninauza Tv's mbili za inch 32 Brand Hisense na Ps3 moja kwa 900,000 tu!

Nilikuwa nachezesha PS mtaani (DSM) lakini nimepata ajira na nina hama Mkoa.

Unaweza kuja ofisini kwangu kujihakikishia kama utapenda Mkuu.

Mali hizi ni nzima namimi ndio mmiliki halali.

Hizi ni baadhi ya Picha kutoka Ofisini kwangu,

View attachment 2984651
View attachment 2984653
View attachment 2984654

NB: NAKUPA NA WALL BRACKET MBILI ZA UKUTANI

ASANT

ASANTE.
650k...0715860702
 
Back
Top Bottom