Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 6,702
- 48,698
unatafuta nn sasa kwenye huu uziUnachukua mataka taka ya instagram unakuja kupost watu tunawaza katiba mpya uchumi wa nchi mambo makubwa ya kitaifa
Hili taifa nyie vijana mnawaza mapenzi tu
Nipe number yake kuwa warsha ya kitaifa nimualike....au pia kuna jambo kitaifa nipe number niongee nae....