Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 27,130
- 50,597
Jamanu umenenepa..hebu tupia kasura jamani ww mtani
Jamanu umenenepa..hebu tupia kasura jamani ww mtani
Mbona sisi wanawake hapo vyote vinakua under control including muuliza swali...Najigawa vipi..?
View attachment 2975578
AsanteOooh tisha sana
Wa mjini Daslama wakaribieUmeona eeh na wewe atupe location!utasikia Dodoma🙄
🤣🤣🤣🤣Au sio?na Shabiby au na usafiri Gani?Hahahahaha..Dodoma tunaenda
Hahahahaha..shabiby tutachelewa..tunaenda na sgr au njiwa wa anko🤣🤣🤣🤣Au sio?na Shabiby au na usafiri Gani?
Kwa Dodoma Shabiby hana mpinzaniAu sio?na Shabiby au na usafiri Gani?
Kwani sgr haijaanza kazi ?Kwa Dodoma Shabiby hana mpinzani
Apande gari pendwa Shabiby line
Mwezi ujao sijui🤔🤔nauli ni sabini elfu Hela..Kwani sgr haijaanza kazi ?
Nyie bwana mmekariri,Mimi nitapanda Scania Katarama ya rockcity itanidrop hapo😁Kwa Dodoma Shabiby hana mpinzani
Apande gari pendwa Shabiby line
Karatama😂😂😂💔Nyie bwana mmekariri,Mimi nitapanda Scania Katarama ya rockcity itanidrop hapo😁
EwaaKwani sgr haijaanza kazi ?
HahahahahaEwaa
Panda hiyo fasta
Usafiri wa kishua
Hahahahaha..elf sabini tuMwezi ujao sijui🤔🤔nauli ni sabini elfu Hela..
Nina ugonjwa tu wa kucheka ovyoDogo mshamba_hachekwi mbona umecheka? nimemnunulia shemeji yako hiyo saa au nimepigwa?
Pole mdogo wangu...Nina ugonjwa tu wa kucheka ovyo