aBuwash
Senior Member
- Dec 26, 2023
- 131
- 251
Za jion wana jamii,
Naimani mko powa wote
Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo biashara hii itafit
NB: kwa sasa nataka kuanza rejareja ila mbeleni nitauza na jumla kutegemeana na mwenendo wa wateja.
Msaada wenu tafazari wana jamii. Sina mteja hata mmoja nategemea location inibebe katka kuanza biashara hiii