Salama Wakuu?
Watu walitabiri na kutabiri mara Kikeke anaenda TBC, mara anaenda Wasafi, mara atalamba teuzi za Rais Samia akaungane na Zuhura, sasa kutabiri kumeisha, Kikeke huyooo kwa CROWN. Mjadala sasa umeisha.
Ila hii mbinu ya kudiss kuonesha anaenda sehemu fulani kwa kudiss redio nyingine mnaionaje Wakuu?
Kwamba aligoma kupokea simu kutoka WACHA FUU FM (Wasafi), KISINGELI FM (EFM) pamoja na ICE CREAM TV (Azam TV) na kupokea simu ya KING (Crown FM) kwa Ali Kiba.
Hawawezi kutangaza ujio wao kwenye media hizo bila diss?