The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,538
- 1,752
Habarini za muda wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Ninahitaji kuzalisha fedha kuanzia millioni moja na kuendelea kwa siku ya Kuanzia leo mpaka Jumamosi. Ili niweze kutatua tahadhari inayonikabili, ambayo inahitaji fedha za haraka. Hivyo wakuu naomba mwenye kazi yeyote ambayo naweza kufanya online anipe niweze kumfanyia mfano, translation, report writing, donor funded proposal writing, assignment, business plan, thesis , proof reading and editing etc. Nitafanya kazi usiku na mchana uaminifu ni wa hali ya juu. Naombeni kuwasilisha kwa heshima na taadhima. Mungu awabariki sana.
Kwa sasa unaweza nipata kupitia email adress: nexusconsultinghub@gmail.com
NB: Shida isikie kwa mwenzako,
Haichagui mtu, siku wala mwaka
Haina katu taarifa shida huingia shida bila hodi
Kwa sasa unaweza nipata kupitia email adress: nexusconsultinghub@gmail.com
NB: Shida isikie kwa mwenzako,
Haichagui mtu, siku wala mwaka
Haina katu taarifa shida huingia shida bila hodi