Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,467
- 23,759
Nimegundua ni ngumu sana kuwalaani au kuwachukia Wayahudi. Hili dhehebu la Shia katika Uislamu ni zao la Myahudi ambaye alitumwa aende anzisha hili dhehebu katika uislamu. Abdullah Ibn Sabai Karne ya 7 huko.
Nimekuwa nikitafakari sana ni sehemu chache sana hawa Wayahudi huku asili yao. Chache sana. Na mkitizama kuna utofauti mkubwa wa Answar Sunni na Shia. Shia wengi hata shule wameenda wapo moderate kidogo.
Tofauti na sisi Answar Sunni. Sisi huwa tuna hisia sana.... Taakbirrrrr...
Tunahisia sababu sisi si kama makafir haya yanaleta na ufahamu wa ilimu duniya. Sisi ni ilim akhera tu na hatujali wala nini. Tumswalieni mtumee ndugu zanguni. Hali ni mbaya