Chifu Sanze
JF-Expert Member
- Jul 20, 2021
- 3,331
- 6,823
Kuna watu wanapenda madaraka bila kujali wataonekana vipi mbele ya jamii hivyo wapo tayari kufanya lolote hata kama jambo hilo litawaondolea utu wao!Possibly! Hawa ndio wale wanaomuona mfalme Zumarid kama Mungu wao. So, akiona sketi yoyote inakatiza mbele yake, anakuwa amemuona Mungu. Nchi hii ina mambo ya kijinga sana.
Nina wasiwasi wapo watu ambao wapo tayari kufanyiwa hata vitendo visivyofaa ili mradi tu mtu ahakikishiwe kupewa madaraka fulani.