Makonda: Siko tayari kumkatisha tamaa Rais Samia Suluhu kwa kunipa cheo cha RC

Possibly! Hawa ndio wale wanaomuona mfalme Zumarid kama Mungu wao. So, akiona sketi yoyote inakatiza mbele yake, anakuwa amemuona Mungu. Nchi hii ina mambo ya kijinga sana.
Kuna watu wanapenda madaraka bila kujali wataonekana vipi mbele ya jamii hivyo wapo tayari kufanya lolote hata kama jambo hilo litawaondolea utu wao!
Nina wasiwasi wapo watu ambao wapo tayari kufanyiwa hata vitendo visivyofaa ili mradi tu mtu ahakikishiwe kupewa madaraka fulani.
 
Hapana hapa unemchomekea bwana. Hapo alipofika kwa Mungu wangu kuna koma/pumziko ndio akamtaja Mh. Rais Dkt Samia

Asieh ningesema hili nalo ni ajabu jingine ingawa kama yeye akikiri kuwa huyo ni Mungu wake sisi wengine tutafanyaje sasa???
Ukimsikiliza vizuri, hilo pozi halimaanishi kitu kipya bali linamhusu Dakatari Samia Hassan ambaye yeye anamuona ni Mungu wake kisa tu amempa ulaji kama RC. Siku akimpa ubalozi au cheo kingine kikubwa, atamlamba miguu.
 
Kuna watu wanapenda madaraka bila kujali wataonekana vipi mbele ya jamii hivyo wapo tayari kufanya lolote hata kama jambo hilo litawaondolea utu wao!
Nina wasiwasi wapo watu ambao wapo tayari kufanyiwa hata vitendo visivyofaa ili mradi tu mtu ahakikishiwe kupewa madaraka fulani.
Ndio maana wanaume wanaotumikia uchawa wamejiingiza kwenye vitendo vya kishoga ilmradi wanapata pesa za kutosha bila kujali wanadhalilika kiasi gani. The same case applies to Bashite.
 
Msikilize vizuri mwanzo hadi mwisho ameunganisha maneno wewe mbuzi kama hujui kKiswahili rudi shuleni ukasome.
unatamani watu waelewe na kuamini upotoshaji wa maandishi yako, waache kuzingatia sauti na video ya muhusika amabyo umeiweka mwenyewe. hiyo haiwezekani hata uite watu majina gani :pedroP:
 
Wapi alitamka hayo maneno? Hayo maneno ameunganisha na yote yanamhusu Dr Suluhu Hassan. Acha kujitoa ufahamu na kupotosha watu. Kama hujui Kiswahili nenda shuleni ukasome.
Inaonyesha wewe kichwa haki ni kigumu sana kuelewa na una matatizo ya kusikia.hapo katika kuongea kwake kuna alama ya koma kabla ya kwenda sentesi ya pili kuwa hayupo tayari kumkatisha tamaa Mheshimiwa daktari Samia Suluhu Hasssan .nimegundua kuwa baadhi ya watanzania ukiwepo wewe mna umbumbumbu mkubwa sana tena sana. Kama kwenye video hiyo tu umeshindwa kuelewa vipi kwa mashaka makubwa yanayohitaji akili?

Wewe ni kipofu wa akili na macho.
 
unatamani watu waelewe na kuamini upotoshaji wa maandishi yako, waache kuzingatia sauti na video ya muhusika amabyo umeiweka mwenyewe. hiyo haiwezekani hata uite watu majina gani :pedroP:
Hilo ni nyumbu la CHADEMA.na nyumbu za CHADEMA hazinaga akili hata ya kuelewa. Ni vipofu wa akili na macho. Video ipo wazi tena kaweka mwenyewe ikiwa wazi kabisa namna Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Makonda akizungumza, halafu yeye kwa unyumbu wake anataka kuleta upotoshaji hapa. Kweli nyumbu ni nyumbu tu.
 
Sikiliza kwa makini usikurupuke. Mungu aliyekuwa amemlenga ni Daktari Samia Suluhu Hassan. Hebu msikilize vizuri. Hapo alikuwa anaweka msisitizo ndio maana akaongezea hayo maneno. Nenda shule ukasome upya mkuu.
Mimi nimeisikiliza na wala siyo nyumbu kama ulivyo wewe. Kweli nimeamini CHADEMA hamna akili kabisa.kama hata kwenye hiyo video umeshindwa kuielewa vipi kwa masula yanayohitaji akili . Ndio maana mna kuwaga mnaropoka vitu majukwaani kwa kuwa hata mnachozungumza huwa hamkielewi hata ninyi wenyewe.
 
Sote tunafahamu na tunatambua kuwa uchawa (chawaism) upo katika nchi hii na katika ngazi tofauti za uongozi, lakini kitendo cha mtu kuonyesha uchawa uliopitiliza ni zaidi ya uzwazwa. Nilipomsikia Profesa Kabudi akisema kuwa Magufuli ni Mungu wake nilidhani ni masikhara. Kumbe Rais akikuteua kushika wadhaifa fulani, tayari anachukua nafasi ya Mungu wako?

Wakati RC Makonda akiongea kuhusu rushwa huko Arusha, amesema Dr Samia ni Mungu wake, hivyo hayuko tayari kumuumiza. Mambo yasiwe mengi, hebu msikilize wewe mwenyewe kwenye video hapo chini usije ukasema nimemuwekea maneno kinywani mwake.

View attachment 2976801
MAONI YANGU
Hata mtu uwe na njaa au uwe ni mwenye kujikomba kiasi gani, tafadhali sana usimfananishe mwanadamu na Mwenyezi Mungu, Bwana wa majeshi, Muumba wa mbingu na nchi. Hii ni kufuru iliyovuka mipaka. Ifike wakati tutumie akili zetu vizuri tuache kufananisha vitu visivyofanana kwa sababu tu ya kutetea matumbo yetu.

Nawasilisha.

Pia soma
.
RC Makonda: Rais Samia ameipendelea Arusha, amemtoa mwanae wa pekee na kumleta Arusha
Rais samia ni Mungu wa makonda
 
Kumchukia mtu kusikufanye umsingizie hata mambo ambayo hajayazungumza.
Hiyo video umeiskiliza? Unafahamu Kiswahili? Kama hujaisikiliza au kuielewa, kaa chink utulize tako uache kupotosha.
 
Mimi nimeisikiliza na wala siyo nyumbu kama ulivyo wewe. Kweli nimeamini CHADEMA hamna akili kabisa.kama hata kwenye hiyo video umeshindwa kuielewa vipi kwa masula yanayohitaji akili . Ndio maana mna kuwaga mnaropoka vitu majukwaani kwa kuwa hata mnachozungumza huwa hamkielewi hata ninyi wenyewe.
Wewe msukule kweli. Sasa suala la wewe kushindwa kutafsiri hotuba ya kiongozi wako CHADEMA inaingiaje? Au CHADEMA ndiyo iliyokuroga na kukutoa ufahamu?
 
Back
Top Bottom