Je, muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo kwa vigezo vipi?

Kuna huyu mbunge wao anataka tuwe na passport tukitaka kuingia Zanzibar ila wao huku waje free ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚muungano wa kis**ge sana.
Unafikiri ilipokuwepo passport Wazanzibari wanaokuja bara wakirudi huwa hawaonyeshi Passport ? Muungano huu ni uvamizi na wizi wa Watanganyika kwa Zanzibar
 
Vya kigezo cha kunguni na binadamu. Bara Binadamu na ZNZ kunguni, kazi yao kutunyonya damu tu.
Kwanini viongozi wa CCM Tanganyika wanapigana uwepo Huo uvamizi wanaouita muungano? Kunguni ni Nani hapo ?
 
-Huyo raisi hatawali Muungano? Nitajie wa bara pekee.
-Mimi nataka katiba ya bara peke ake sio ya muungano
Mkuu haya maswali yako ni mazito sana kujibiwa na unayemuuliza na ndio maana kila unapouliza badala ya ku clear doubts yeye analeta doubts and ambiguities.

Ukweli ni kwamba muungano wetu hauna maana kimsingi na sababu zake pia, bali sababu ambazo serikali inazijua na haiziweki wazi, labda kwa kuogopa au ujinga wa viongozi wetu, maana faida za muungano huu nyingi wanapata wazanzibar.

Ki kawaida panapokuwa na Muungano yaani Union government with the aim to create a single state basi kila nchi kati ya zilizo ungana hupoteza sovereignty yake na kukabidhi nchi iliyotengenezwa au kuundwa kwa mujibu wa sheria za kimataifa ambazo ndizo zinatuongoza.

Sasa baada ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar free states by then zilitengeneza Tanzania hivyo, hatukupaswa kuwa na Tanganyika wala Zanzibar au! Kama tungekuwa nazo basi tungepaswa kuwa na Tanganyika na Zanzibar, ila uwepo wa Zanzibar pekee pasi na Tanganyika kunatoa tafsiri ya uwepo wa muungano wa aina yake yaani ambao haupo hata katika sheria hizo za umoja wa mataifa zinazotuongoza.

Na ndio maana kwa wanazuoni wa Constitutional Law huja na hoja kuwa Zanzibar is not a State but a Nation kwa kuzingatia Makubaliano ya Montevideo ( Montevideo Convention), kwanini Zanzibar sio State? Jibu ni fupi tu... kwasababu ilipoteza sovereignty yake baada ya muungano kama Tanganyika ilivyopoteza na ikawa haipo.

Sasa uwepo wa katiba ya Zanzibar ndani ya katiba ya Tanzania ni ishara ya matatizo ya huu muungano, uwepo wa JKU na baadhi ya vikosi vya ulinzi na usalama Zanzibar ni ishara pia ya mapungufu hayo kwani uanzishwaji wa vikundi vyote hivyo ni kinyume na katiba ya Tanzania, Sasa mtu anaweza kuja na hoja kuwa mbona Zanzibar ina katiba yake na vimeundwa hivyo vikosi kwa katika ya Zanzibar? Hoja hii inajibiwa na mambo makubwa mawili, mosi ni kwamba Katiba ya JMT inatumika Kate yaani huku bara na kule visiwani, pili lwa mujibu wa ibara ya 64 ibara ndogo ya 5 ya katiba ya JMT inatambua sheria yoyote hata katiba ya Zanzibar kuwa Batili, Pale inapoenda kinyume na katiba hii ya 1977.

Hivyo basi maswali ya huu muungano ni magumu lakini yanye majibu ya wazi kabisa ila hujibiwa kwa lugha na majibu mepesi yasiyokidhi mahitaji ya mswali, na ndio maana, maswali uliyomuuliza huyo bwana hapo juu, anajua majibu yake lakini anatetea kisichokuwepo.
 
View: https://youtu.be/5L5bgbBzhi4?si=e2UB0Qmy8yx_SfF8
 
Tunahitaji majibu sasa na sio baadae!!
 
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu

1.) Kila nchi ina Rais wake
2.) Kila nchi ina katiba yake
3.) Kila nchi inajeshi lake
4.) Kila nchi ina mamlaka yake ya mapato na mamlaka zingine zote husika katika kuemdesha nchi
5.) Kila mchi ina bunge lake

Kilichokuwa kimebaki ni katika Mambo ya soccer, lakini hata hilo nalo liko mbioni kuondoka, na kila nchi itakuwa na timu yake ya taifa. Sasa hiki kinachoitwa Muungano ni kwa vigezo vipi?

- Raia wa Zanzibar kutawala Tanganyika ila kinyume chake ni marufuku?

- Raia wa Zanzibar kumiliki ardhi Tanganyika ila kinyume chake ni marufuku?

- Mkopo kukopwa na Zanzibar ila deni kulipishwa Tanganyika?

- Kodi zikusanywe Tanganyika ila mapato yakatumike Zanzibar?

- Umeme utoke Tanganyika kwenye mgao wa umeme kisha uende Zanzibar bure bila malipo?

- Wanafunzi watole Zanzibar waje kusoma Tanganyika ila mkopo wachukue bodi ya mikopo ya Tanganyika?

- Wabunge toka Zanzibar kushiriki bunge la Tanganyika na kula posho za waTanganyika ila kinyume chake ni marufuku?

- Dereva wa Zanzibar kuendesha gari Tanganyika ila kinyume chake ni marufuku?

- Kuuza bandari (DPW) na Mbuga zote (OBC) za Tanganyika ila za Zanzibar ni marufuku?

- Utambulisho wa Tanganyika kuzikwa ilihali utambulisho wa Zanzibar unaachwa uishi?

Hicho ndio kinasababisha huu uitwe Muungano, au kuna jambo lingine?

===========================
Update: 24/04/2024

zanzibar ni mzigo mkubwa sana kwa Tanganyika, kuna siku Mungu atasaidia tutawaacha waendelee na maisha yao. hiki ndicho kinachotakiwa.
 
Wale ni kama kupe kwenye ngozi ya ngโ€™ombe, wameshanenepa vya kutosha, watuachie sasa, unyonyaji wao ufike mwisho!
 
sijui kama ni kweli, kwamba wao wana nchi yao, wana TRA yao, ila wakikopa mkopo sisi ndio tunalipa? umeme wa kwetu, bado wana dharau na kutuita chogo, ajira wao wameajiriwa huku wengi mno, sisi kule hatutakiwi kuajiriwa ati tunachukua ajira zao, serikalini kuna wazanzibar wengi sana na hata wakiwa huku wanatuangalia jicho baya.
 
Dawa ni kuungana kuwa kitu kimoja chini ya Rais mmoja, maana kuwaachia hatuwezi, tunawadai pesa nyingi sana..
 
Mungano wa Tanganyika na Zanzibar unafanana kiasi na muungano wa England, Wales na Scotland
 
Back
Top Bottom