Jana usiku Mashabiki mbumbumbu wa Tanzania ndio wamejua Al Ahly ni bora kuliko Mamelodi!

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,283
36,670
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde.

Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na wachambuzi ni vilaza.

Kwaaliyefuatiliamechi zote za CAFCL atakubali kuwa Al Ahly bado ni timu kubwa na itachukua hili kombe tena. Ndio timu yenye mafanikio zaidi Africa, Mamelodi ni kama yanga tu wameibuka juzi juzi.

Ile droo ilikuwa ni zuga tu wakipanga kulinganana ubora, timu kubwa kwa timu kubwa na ndogo kwa ndogo.
 
Hao unaowadharau walimdunda huyo unayemsifia goli 5 tena sio za penalty, wenyewe wanawashukuru Esperance kwa kuwatoa kwenye mashindano maana wangekutana fainali wanajijua wasingetoboa
Kuna siku mbaya kwenye mpira. Siku tu inatokea kila short on target ni goli, haimaanishi kwamba nyinyi ni wabovu.
 
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde.

Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na wachambuzi ni vilaza.

Kwaaliyefuatiliamechi zote za CAFCL atakubali kuwa Al Ahly bado ni timu kubwa na itachukua hili kombe tena. Ndio timu yenye mafanikio zaidi Africa, Mamelodi ni kama yanga tu wameibuka juzi juzi.

Ile droo ilikuwa ni zuga tu wakipanga kulinganana ubora, timu kubwa kwa timu kubwa na ndogo kwa ndogo.
Al Ahly hawezi kutoboa kwa Es Tunis hata siku moja!
 
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde.

Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na wachambuzi ni vilaza.

Kwaaliyefuatiliamechi zote za CAFCL atakubali kuwa Al Ahly bado ni timu kubwa na itachukua hili kombe tena. Ndio timu yenye mafanikio zaidi Africa, Mamelodi ni kama yanga tu wameibuka juzi juzi.

Ile droo ilikuwa ni zuga tu wakipanga kulinganana ubora, timu kubwa kwa timu kubwa na ndogo kwa ndogo.
Waarabu wakikutana huwezi kutabiri mshindi.
 
Mazembe walimalizwa nguvu kwa kunyimwa goli lao, chuma kimeitika.
Ahly walishakubali kuweka ngoma kati bila kelele, VAR room ikapokea maagizo toka juu.
Chuma ikakataliwa.
Walitakiwa wapambane warudi mchezoni,VAR kazi yake ndio hiyo
 
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde.

Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na wachambuzi ni vilaza.

Kwaaliyefuatiliamechi zote za CAFCL atakubali kuwa Al Ahly bado ni timu kubwa na itachukua hili kombe tena. Ndio timu yenye mafanikio zaidi Africa, Mamelodi ni kama yanga tu wameibuka juzi juzi.

Ile droo ilikuwa ni zuga tu wakipanga kulinganana ubora, timu kubwa kwa timu kubwa na ndogo kwa ndogo.
Nyumamwiko watabisha
 
N
Hao unaowadharau walimdunda huyo unayemsifia goli 5 tena sio za penalty, wenyewe wanawashukuru Esperance kwa kuwatoa kwenye mashindano maana wangekutana fainali wanajijua wasingetoboa
Ni kweli hakukuwa na goli la penati au unaota ?
F.A Cup Simba 4 Yanga 1 with penati
Ligi Simba 1 Yanga 5 with penati
Ligi Simba 1 Yanga 2 with penati
Jumla Simba 6 Yanga 8 tofauti ya goli 2 mji mzima matemate na mabango juu.
Kweli maskini akipata.
 
Back
Top Bottom