Aliyesema mashabiki wa Simba ni mbumbumbu naomba ajengewe sanamu kubwa sana katikati ya Dar es Salaam

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,403
13,017
Hakika alichozungumza huyu mtu alikuwa yupo sahihi kabisa hata Mimi naunga mkono hoja kwa ushahidi wangu niliouona kwa mashabiki wa simba.

Ndiyo, siwezi kutengua kauli yangu yakuunga mkono hoja ya huyo aliyewaita mashabiki wa simba mbumbumbu hata hata nikipewa mil 5 za mamamara nne Kama walivyozibeba yanga baada yakujipatia magoli manne katika michuano yakimataifa.

Naunga hoja hiyo kwa, kwanza uchaguzi ule wa awamu ile aliyekuwa mgombea mwenyekiti katika kampeni zake na ahadi yake kubwa alisimama na kujinadi kuwa "ataifunga yanga"

Wajumbe wakampa kula zakutosha wakiamin kabisa hayo ni ya kweli lakini mwisho wa siku kilichowakuta simba ushindi wao kwa yanga ni droo tu.

Pili, mashabiki walianzisha nyimbo za kutomtaka matola wakidai kuwa anaihujumu timu na ndyo maana wanapata matokeo mabovu, matola akaona isiwe kesi matola Sasa hayupo lakini kipigo kipo pale mashabiki wamebaki wanatoa macho Kama mjusi aliyebanwa na mlango.

Tatu, uchaguzi wa juzi mgombea huyo huyo aliyeshindwa kutimiza ahadi yake yakuifunga yanga hakukoma akawadanganya Tena mashabiki kuwa ataifunga yanga na mashabiki wakapiga kula kumpa wakiwa na Imani ile ile.

Huyo huyo mwenyekiti mangungu akaona sasa awaletee na manzoki Tena akapewa na maiki kuwaaaminisha mashabiki kuwa yupo pamoja na mangungu na lazima atatua simba.

Yaani sijui Nini kinachowapumbaza mashabiki mpaka wanadanganywa hivi? Kwa kikosi cha Simba hivi sasa hakina uwezo wakuifunga yanga, Kama mwenyekiti wenu anawadanganya mashabiki shitukeni.

Naunga hoja ya Yule aliyewaita mashabiki wa simba ni "mbumbumbu"
 
Hakika alichozungumza huyu mtu alikuwa yupo sahihi kabisa hata Mimi naunga mkono hoja kwa ushahidi wangu niliouona kwa mashabiki wa simba.

Ndiyo, siwezi kutengua kauli yangu yakuunga mkono hoja ya huyo aliyewaita mashabiki wa simba mbumbumbu hata hata nikipewa mil 5 za mamamara nne Kama walivyozibeba yanga baada yakujipatia magoli manne katika michuano yakimataifa.

Naunga hoja hiyo kwa, kwanza uchaguzi ule wa awamu ile aliyekuwa mgombea mwenyekiti katika kampeni zake na ahadi yake kubwa alisimama na kujinadi kuwa "ataifunga yanga"
Wajumbe wakampa kula zakutosha wakiamin kabisa hayo ni ya kweli lakini mwisho wa siku kilichowakuta simba ushindi wao kwa yanga ni droo tu.

Pili, mashabiki walianzisha nyimbo za kutomtaka matola wakidai kuwa anaihujumu timu na ndyo maana wanapata matokeo mabovu, matola akaona isiwe kesi matola Sasa hayupo lakini kipigo kipo pale mashabiki wamebaki wanatoa macho Kama mjusi aliyebanwa na mlango.

Tatu, uchaguzi wa juzi mgombea huyo huyo aliyeshindwa kutimiza ahadi yake yakuifunga yanga hakukoma akawadanganya Tena mashabiki kuwa ataifunga yanga na mashabiki wakapiga kula kumpa wakiwa na Imani ile ile.

Huyo huyo mwenyekiti mangungu akaona Sasa awaletee na manzoki Tena akapewa na maiki kuwaaaminisha mashabiki kuwa yupo pamoja na mangungu na lazima atatua simba.

Yaani sijui Nini kinachowapumbaza mashabiki mpaka wanadanganywa hivi?? Kwa kikosi Cha simba hivi Sasa hakina uwezo wakuifunga yanga,
Kama mwenyekiti wenu anawadanganya mashabiki shitukeni

Hawa jamaa nimeamini ni mbumbumbu kweli, kwenye ule uchaguzi wao wa juzi kati! Eti Caesar Manzoki katumiwa nauli ya ndege kutoka China, ili kuja tu kuuza sura na pia kufanikisha ushindi kwa Mwenyekiti Murtaza Mangungu!!

Ukiuliza alikuja kama nani? Hawana majibu! Kwa kweli Ismail Aden Rage anastahili tuzo ya heshima.
 
Mkuu ongea taratibu wasikusikie.
 
Hakika alichozungumza huyu mtu alikuwa yupo sahihi kabisa hata Mimi naunga mkono hoja kwa ushahidi wangu niliouona kwa mashabiki wa simba.

Ndiyo, siwezi kutengua kauli yangu yakuunga mkono hoja ya huyo aliyewaita mashabiki wa simba mbumbumbu hata hata nikipewa mil 5 za mamamara nne Kama walivyozibeba yanga baada yakujipatia magoli manne katika michuano yakimataifa.

Naunga hoja hiyo kwa, kwanza uchaguzi ule wa awamu ile aliyekuwa mgombea mwenyekiti katika kampeni zake na ahadi yake kubwa alisimama na kujinadi kuwa "ataifunga yanga"
Wajumbe wakampa kula zakutosha wakiamin kabisa hayo ni ya kweli lakini mwisho wa siku kilichowakuta simba ushindi wao kwa yanga ni droo tu.

Pili, mashabiki walianzisha nyimbo za kutomtaka matola wakidai kuwa anaihujumu timu na ndyo maana wanapata matokeo mabovu, matola akaona isiwe kesi matola Sasa hayupo lakini kipigo kipo pale mashabiki wamebaki wanatoa macho Kama mjusi aliyebanwa na mlango.

Tatu, uchaguzi wa juzi mgombea huyo huyo aliyeshindwa kutimiza ahadi yake yakuifunga yanga hakukoma akawadanganya Tena mashabiki kuwa ataifunga yanga na mashabiki wakapiga kula kumpa wakiwa na Imani ile ile.

Huyo huyo mwenyekiti mangungu akaona Sasa awaletee na manzoki Tena akapewa na maiki kuwaaaminisha mashabiki kuwa yupo pamoja na mangungu na lazima atatua simba.

Yaani sijui Nini kinachowapumbaza mashabiki mpaka wanadanganywa hivi?? Kwa kikosi Cha simba hivi Sasa hakina uwezo wakuifunga yanga,
Kama mwenyekiti wenu anawadanganya mashabiki shitukeni

Naunga hoja ya Yule aliyewaita mashabiki wa simba ni "mbumbumbu"
Aliyesema mashabiki wa Yanga ni nyani,mbwa na uneducated huyo mbinguni moja kwa moja
 
Back
Top Bottom