Hizi habari za Dualis kuungua moto zina ukweli wowote?

Wakuu hizi habari zina ukweli au mambo ya vita za kibiashara?
Tatizo sio Gari, Mafundi wetu ambao wengi awajapita DIT/VETA au NIT ndo Tatizo. Hizi gari zina Electronic/Computerized System. Sasa hawa kina fundi Maiko awajui na awana technical how on how to deal with them. Anafunga mfano Android radio kwenye line yenye Amps ndogo. Hapo lazima uwe unatembea na Time Bomb. Kama upo Dar na una hiyo Gari... yupo mwana JF ni Fundi mbobezi wa maswala ya Electronics/Electricity system za gari karibia zote so ntakuunga nae.
Gari Service sio Kubadilisha OIL na Filter tu🤣🤣👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

Nissan Dualis Electronic Service Manual​

This manual provides information on diagnosis, service procedures, adjustments and specifications for Nissan
Mara ya mwisho kucheck Airbags za gari yako kama zipo Ok na zitafunguka gari ikipata ajali ni lini😂
CONTENTS:
https://cardiagn.com/cruise-control-system-qashqai-07-10/
 
Tatizo sio Gari, Mafundi wetu ambao wengi awajapita DIT/VETA au NIT ndo Tatizo. Hizi gari zina Electronic/Computerized System. Sasa hawa kina fundi Maiko awajui na awana technical how on how to deal with them. Anafunga mfano Android radio kwenye line yenye Amps ndogo. Hapo lazima uwe unatembea na Time Bomb. Kama upo Dar na una hiyo Gari... yupo mwana JF ni Fundi mbobezi wa maswala ya Electronics/Electricity system za gari karibia zote so ntakuunga nae
Sur3
 
Mtaje
 
Wakuu hizi habari zina ukweli au mambo ya vita za kibiashara?
xxxx.jpeg
Hata mimi naskia tu!
 
Kwa nchi za wenzetu tukio.kama hilo.likijirudia huwa wanafanya uchunguzi na wakigundua hililafu mahari yanrudishwa yalikotoka Ila huku tbs na vyomvo vingine vimekalia tozo
Kweli kabisa na pia hawa Authorized agents wa Nissan, Toyota walitakiwa kuwajulisha wamiliki wa hizi gari pale zinapohitajika kufanyiwa Let say Software updates, Engine tunning au calibration( mfano kuna gari aina za toyota ambazo zipo hapa Tanzania) zinakula sana mafuta kwa sababu software yake ina muskheri so una update kama vile simu gari inakula 1 litter to 10-15 KM😁

Check hii Toyota recalls 280,000 vehicles because they may ‘creep forward’ in neutral | CNN Business

Kuna aja Wizara Husika kuja na Certification system ya Mafundi Gari,Simu, Electronics appliances na ata friji( hasa hizi zenye digital Compressors na Computer system) Kwani watu huku mitaani wanalinzwa sana.Fundi anakuonyesha Certificate ndo unamkabidhi gari au kifaa chako... akishindwa repair na iwapo itakuja gundulika kuwa alikiongezea ubovu na fundi mwingine anakulipa fidia
 
Kweli kabisa na pia hawa Authorized agents wa Nissan, Toyota walitakiwa kuwajulisha wamiliki wa hizi gari pale zinapohitajika kufanyiwa Let say Software updates, Engine tunning au calibration( mfano kuna gari aina za toyota ambazo zipo hapa Tanzania) zinakula sana mafuta kwa sababu software yake ina muskheri so una update kama vile simu gari inakula 1 litter to 10-15 KM😁

Check hii Toyota recalls 280,000 vehicles because they may ‘creep forward’ in neutral | CNN Business

Sasa watu tunanunua magari ya mitumba, mengine yametengenezwa zaidi ya miaka 20 iliyopita. Hiyo recalls itafanyikaje, hata mzalishaji hayatambui tena.
 
Kwa nchi za wenzetu tukio.kama hilo.likijirudia huwa wanafanya uchunguzi na wakigundua hililafu mahari yanrudishwa yalikotoka Ila huku tbs na vyomvo vingine vimekalia tozo
Kwa taarifa hizo gari production ilishakoma. Huko Japan wakati zilivyotoka nadhan 2010 hilo tatizo halikuonekana, limekuja kuonekana miaka 14 baadae.
Tatizo ni wabongo tu, wenzetu wamelitumia mpaka wakaamua kutupa
 
Kwa macho yangu nimezishuhudia mbili zikiungua.

Moja Tabata Liwiti.

Pili Dar Airport.

Mkuu usikate tamaa huenda ni matumizi mabaya ya watumiaji, lakini ukiweza chukua tahadhari
sasa kama chanzo bado kujulikana mbn risk sana hata kuwa nalo tu. ila kiukweli dualis ni gari yenye muonekano matata sana.
 
Back
Top Bottom