Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 1,974
- 3,850
Wakuu hizi habari zina ukweli au mambo ya vita za kibiashara?
Kwa macho yangu nimezishuhudia mbili zikiungua.Wakuu hizi habari zina ukweli au mambo ya vita za kibiashara?
Tatizo sio Gari, Mafundi wetu ambao wengi awajapita DIT/VETA au NIT ndo Tatizo. Hizi gari zina Electronic/Computerized System. Sasa hawa kina fundi Maiko awajui na awana technical how on how to deal with them. Anafunga mfano Android radio kwenye line yenye Amps ndogo. Hapo lazima uwe unatembea na Time Bomb. Kama upo Dar na una hiyo Gari... yupo mwana JF ni Fundi mbobezi wa maswala ya Electronics/Electricity system za gari karibia zote so ntakuunga nae.Wakuu hizi habari zina ukweli au mambo ya vita za kibiashara?
Mara ya mwisho kucheck Airbags za gari yako kama zipo Ok na zitafunguka gari ikipata ajali ni lini😂This manual provides information on diagnosis, service procedures, adjustments and specifications for Nissan
CONTENTS:
Sur3Tatizo sio Gari, Mafundi wetu ambao wengi awajapita DIT/VETA au NIT ndo Tatizo. Hizi gari zina Electronic/Computerized System. Sasa hawa kina fundi Maiko awajui na awana technical how on how to deal with them. Anafunga mfano Android radio kwenye line yenye Amps ndogo. Hapo lazima uwe unatembea na Time Bomb. Kama upo Dar na una hiyo Gari... yupo mwana JF ni Fundi mbobezi wa maswala ya Electronics/Electricity system za gari karibia zote so ntakuunga nae
MtajeTatizo sio Gari, Mafundi wetu ambao wengi awajapita DIT/VETA au NIT ndo Tatizo. Hizi gari zina Electronic/Computerized System. Sasa hawa kina fundi Maiko awajui na awana technical how on how to deal with them. Anafunga mfano Android radio kwenye line yenye Amps ndogo. Hapo lazima uwe unatembea na Time Bomb. Kama upo Dar na una hiyo Gari... yupo mwana JF ni Fundi mbobezi wa maswala ya Electronics/Electricity system za gari karibia zote so ntakuunga nae
Hata mimi naskia tu!Wakuu hizi habari zina ukweli au mambo ya vita za kibiashara?
Kweli kabisa na pia hawa Authorized agents wa Nissan, Toyota walitakiwa kuwajulisha wamiliki wa hizi gari pale zinapohitajika kufanyiwa Let say Software updates, Engine tunning au calibration( mfano kuna gari aina za toyota ambazo zipo hapa Tanzania) zinakula sana mafuta kwa sababu software yake ina muskheri so una update kama vile simu gari inakula 1 litter to 10-15 KM😁Kwa nchi za wenzetu tukio.kama hilo.likijirudia huwa wanafanya uchunguzi na wakigundua hililafu mahari yanrudishwa yalikotoka Ila huku tbs na vyomvo vingine vimekalia tozo
Sasa watu tunanunua magari ya mitumba, mengine yametengenezwa zaidi ya miaka 20 iliyopita. Hiyo recalls itafanyikaje, hata mzalishaji hayatambui tena.Kweli kabisa na pia hawa Authorized agents wa Nissan, Toyota walitakiwa kuwajulisha wamiliki wa hizi gari pale zinapohitajika kufanyiwa Let say Software updates, Engine tunning au calibration( mfano kuna gari aina za toyota ambazo zipo hapa Tanzania) zinakula sana mafuta kwa sababu software yake ina muskheri so una update kama vile simu gari inakula 1 litter to 10-15 KM😁
Check hii Toyota recalls 280,000 vehicles because they may ‘creep forward’ in neutral | CNN Business
Kwa taarifa hizo gari production ilishakoma. Huko Japan wakati zilivyotoka nadhan 2010 hilo tatizo halikuonekana, limekuja kuonekana miaka 14 baadae.Kwa nchi za wenzetu tukio.kama hilo.likijirudia huwa wanafanya uchunguzi na wakigundua hililafu mahari yanrudishwa yalikotoka Ila huku tbs na vyomvo vingine vimekalia tozo
duh balaa kubwa ilo aisee poleniSisi iliungua tukiwa ndani ya gari hatari mpaka ikaanza toa mosho ndo watu wakaanza kupiga kelele mpaka kushuka moshi umejaa
sasa kama chanzo bado kujulikana mbn risk sana hata kuwa nalo tu. ila kiukweli dualis ni gari yenye muonekano matata sana.Kwa macho yangu nimezishuhudia mbili zikiungua.
Moja Tabata Liwiti.
Pili Dar Airport.
Mkuu usikate tamaa huenda ni matumizi mabaya ya watumiaji, lakini ukiweza chukua tahadhari