Hivi kuna njia yoyote ya kuacha kubet?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,746
3,292
kubeti ni tamaa ya kutoa kidogo na kupata kingi ndani ya muda mchache imetufanya vijana wengi tuishi kwenye dibwi la kubahatisha na kutaka vya haraka mpaka wengi wetu hudondokea kwenye madhara ya ushoga na liwati.

Jamii inaharibika kwa kuwa betting inadhoofisha akili na vijana wengi hatufanyi planning na kuanalyse mipango ya uchumi ili kuleta tija kwenye taifa hatimae tunadondokea kwenye ulevi mbaya kupindukia.

Ni zipi njia sahihi za kuacha kamari?
 
Nashukurubsana nilifanikiwa kutoka kwenye betting mapema kabla 2014 alijaingia kwenye damu betting ilikula pesa yangu ya ada tsh. 600,000 isee sema mungu fundi sana maana mm ndie nilikuwa mbetishaji sasa sijui ilitokea nn jamaa wanafuata pesa yao machine ikaharibika (premier betting) isee kumbukumbu zikajifuta zote isee niliapa sitakaa nirudie ule ujinga na machine nikawaambia waondoke nalo mm naenda boarding...

Hadi leo nikiona app au office zao za betting napita mbali sana.
 
kubeti ni tamaa ya kutoa kidogo na kupata kingi ndani ya muda mchache imetufanya vijana wengi tuishi kwenye dibwi la kubahatisha na kutaka vya haraka mpaka wengi wetu hudondokea kwenye madhara ya ushoga na liwati.

Jamii inaharibika kwa kuwa betting inadhoofisha akili na vijana wengi hatufanyi planning na kuanalyse mipango ya uchumi ili kuleta tija kwenye taifa hatimae tunadondokea kwenye ulevi mbaya kupindukia.

Ni zipi njia sahihi za kuacha kamari?
Wewe betting imekufanyaje kuwa shoga Tena?
 
Unabidi katika MAISHA uwe na ROHO ya kijahidina katika mambo ya PESA .

Ikiwa unaona wanaotoboa MAISHA ni watu wanofata kanuni za ubahili ikiwemo kujizuia mambo yote yaletayo uraibu hivyo haina budi na wewe kufata mkondo huo.
nitafanya hivyo,now npo kwenye kusoma vitabu kuondoa huu ugonjwa.
 
kubeti ni tamaa ya kutoa kidogo na kupata kingi ndani ya muda mchache imetufanya vijana wengi tuishi kwenye dibwi la kubahatisha na kutaka vya haraka mpaka wengi wetu hudondokea kwenye madhara ya ushoga na liwati.

Jamii inaharibika kwa kuwa betting inadhoofisha akili na vijana wengi hatufanyi planning na kuanalyse mipango ya uchumi ili kuleta tija kwenye taifa hatimae tunadondokea kwenye ulevi mbaya kupindukia.

Ni zipi njia sahihi za kuacha kamari?
Mrudie Mungu naye atakutoa katika hicho kifungo cha kubeti.
 
Sasa uwe:
1.mfuasi wa kubeti
2.mfuasi wa ccm
3.mfuasi wa mitume na manabii

Ndugu uko kwenye uraibu mbaya sana.
Vita umevipigana, mwendo umeumaliza
R.I.P
 
Back
Top Bottom