Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawajui KICC inaweza host basketball matches, tennis matches, conferences, music concerts, exams, political rallies na bado ina maofisi. Hawa wanaskianga tu KICC.
Hadi boxing matches zinakuwa hosted at KICC.

1714401466806.jpeg

1714401524862.jpeg
 
Kuna kitu kinaitwa preserved architecture. KICC ni jengo ambalo limepata award nyingi kwa design yake ya kipekee. Ni miongoni mwa majengo ya Nairobi ambayo ni historical sites ambayo hayawezi bomolewa. Ukimodify hili jengo, utaaribu design yake ya mwanzo ndio maana lipo jinsi lilivyo na bado ndio the most respected conference center in East Africa na pia one of the best in Africa. Hivyo viti vipo jinsi vilivyo sababu tumetaka viwe hivo. Najua nyinyi watu wa kushobokea blue glass buildings hamwezi elewa maana ya preserved architecture.
Kwahiyo renovation mwiko? Nyoko sana wewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom