Battery yangu ya solar inaisha nguvu haraka

Hiyo panel kwa betri la n100 ni kutoitendea haki yake.
Kama una betri la n100 panel ya 120w inakutosha kabisa
Mimi nina betri ya N100 ya kampuni ya Ritar nimewekea kioo watt150 pamoja na controller charger. Sasa natumia huu mwaka wa 5. Betri ni kama mpya tu. Betri ya N100 ukiweka kioo watt120 hiyo betri unaihatarisha, inaweza kufa, kwa sababu kioo cha watt 120 ukiweka betri N100 halafu ukaweka controller ni wazi hiyo betri haitakuwa inajaa vizuri. Na ukiweka kioo direct katika betri bila controller cell za betri zitakuwa zinachomwa sana hivyo hilo betri halitakuwa na maisha marefu. Uhakika betri la N100 linaendana na kioo cha watt150.
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Daah boss langu ni N100 dukani wanauza 350,000 tsh na hali yangu kiuchumi si nzuri kabisa, ngoja tusubiri wajuzi waje huwezi juwa twaweza pata solution.
Hakuna maelezo tofauti zaidi ya kutoa pesa kununua battery lingine. Battery imeshakufa hiyo. Usihangaike kutafuta maelezo mengine
 
Mimi nina betri ya N100 ya kampuni ya Ritar nimewekea kioo watt150 pamoja na controller charger. Sasa natumia huu mwaka wa 5. Betri ni kama mpya tu. Betri ya N100 ukiweka kioo watt120 hiyo betri unaihatarisha, inaweza kufa, kwa sababu kioo cha watt 120 ukiweka betri N100 halafu ukaweka controller ni wazi hiyo betri haitakuwa inajaa vizuri. Na ukiweka kioo direct katika betri bila controller cell za betri zitakuwa zinachomwa sana hivyo hilo betri halitakuwa na maisha marefu. Uhakika betri la N100 linaendana na kioo cha watt150.
Maelezo unayotoa ni kitaalamu au ni fikra zako binafsi juu ya hiko unachokizungumzia?
 
Hakuna maelezo tofauti zaidi ya kutoa pesa kununua battery lingine. Battery imeshakufa hiyo. Usihangaike kutafuta maelezo mengine
Solar Watts 100 ,battery Rita n100 nilitumia miaka 7 likafa,mwaka huu nimenunua Rita n100 naendelea kula maisha.situmii charger controller maana betri halijai
 
Back
Top Bottom