nyodo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wadiz

    Ukitaka Amani Nyandua Pis Kali Kwa Ufumdi wa Kibaharia kiasi kwamba hata akileta nyodo kesho yake Usiwaze Jikatae Kiroho Safi

    Shalom, Dunia ni darasa lefu na linamaudhui yasiyo na mwisho. Pamoja na muonekano wangu wa kipedejee, na vipesa vya kawaida vya kujimudu . Sifa yangu kuu ni Ubahili wenye logic sana, sambamba na hilo pesa yangu inatoka kwa sababu maalumu naogopa sana kuishiwa au kuwa mufilisi. Sasa basi...
  2. GENTAMYCINE

    Kwanini nafurahishwa sana na nazikubali mno Nyodo na Dharau za Dotto Magari ambazo ni Chungu Kwetu Wasomi, Wabaguzi na wenye Dharau kwa Masikini?

    1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma 2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma 3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha 4. Wasomi wengi tunaishi Maisha ya Kuigiza wakati kiuhalisia tuna Shida Milioni kidogo 5. Wasomi wengi tuna Roho Mbaya iwe Makazini...
  3. Tman900

    Watu wenye maeneo au viwanja huwa wana maringo, nyodo na dharau

    Watu wenye maeneo, wanapoamua kuuza, au unapoamua kutafuta kiwanja, yaani wanao miliki viwanja au maeneo huwa wanaringa sana, wanapotaja pesa utadhani wanataja majani au kitu kilicho rahisi sana. Kukipata! Wanaongea kwa kujiamini, lipa nusunusu utamalizia hiyo milioni 2, 3 au 4 utamalizia Baada...
  4. GENTAMYCINE

    Kama ulidhani Waziri mwenye majibu ya Nyodo na Dharau ni Nchemba pekee umekosea sana, msikie huyu Waziri Oryem wa Uganda

    "Kama nchi yetu ya Uganda imebarikiwa Ardhi yenye Rutuba, Hali ya Hewa nzuri na Mazingira rafiki ya kumfanya Mkulima kwenda Shambani Kulima na akapata Chakula cha kutosha nikisikia kuna Waganda wanalia na kulalamika Njaa watakuwa ni Wapumbavu mno na hawastahili Kusaidiwa au hata kuonewa Huruma"...
  5. S

    Kampuni ya SuperFeo Ruti ya Songea-Arusha-Moshi mbona mmeanza nyodo na maringo? Au kwa vile mko wenyewe?

    Hii kampuni ya SuperFeo ilianza safari zake za kutoka Songea-Dodoma-Arusha mwanzoni mwa mwaka jana 2002. Tulifurahi sana maana ilikuwa ni ukombozi wa safari ya moja kwa moja kutoka kusini mwa nchi yetu mpaka kaskazini. Kwa wiki huwa na safari 2, walianza vizuri sana, ulikuwa unakata tiketi...
  6. C

    Aliniacha kwa nyodo na kuniita mbwa eti na mtu wake baada ya siku kadhaa akafariki

    Dah hii ishu ilinihuzunisha sana maana yule msichana nilimpenda sana ila ndio hivyo kazi ya mola Haina makosa. Inaniuma sana ila naona Bora jamaa hakumfaidi.
  7. R-K-O

    Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

    Nimeshajionea mara kadhaa hasa hizi pisi za chini ya miaka 26 huwa wanajiona dunia ni yao na wa kupanga vigezo ni wao. Kuwa approach mabinti wa umri huu wengi mkizinguana kidogo tu hawaoni shida ku break up, usipokuwa na gari ama vimali ni ngumu kumpata, n.k. wafika 30 sasa ndio utaanza kuona...
  8. BigTall

    DOKEZO Wafanyakazi Hospitali ya K's - Mbeya wana hali mbaya, Wamiliki nao hawajali na wanawajibu kwa nyodo

    Nakumbuka mwaka jana niliona kuna memba mmoja wa JF aliandika kuhusu huduma mbovu zinazotolewa na Hospitali ya K’s iliyopo Mbeya, sikuwa nimeweka umakini sana lakini kilichotokea wiki hii ndio nimeona kweli hiyo hospitali ni ya kidwanzi. Wiki moja iliyopita nilifika hospitalini hapo si kwa...
  9. S

    Nape aanza nyodo kwa wananchi. Anatoa majibu ya shombo

    Nape anashiba na kusaza awamu hii. Mama alishamtoa wasiwasi Nape na mawaziri wengine kwamba hatowatumbua hata wakikosea. Hivyo hawana hofu tena. Nape anaulizwa kuhusu TOZO mpya za miamala ya kibenki anajibu kwa nyodo. Majibu yake yananuka shombo la ulevi wa madaraka. Nchi hii jamani! Acha tu.
  10. adriz

    Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

    Moja kwa moja Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati mgumu mara nyingi wakihudumiwa na watumishi wakike tofauti na wakiume kutokana na jinsi wanavyoreact...
  11. GENTAMYCINE

    Nje ya Dharau na Nyodo zake za Kiasili, ila Kocha Mourinho ni Bonge la 'Genius' halafu anatupenda na kutujali mno Waafrika

    Jose Mourinho wants FIFA to stop African players from representing other countries other than that of their origin. He believes once this is done, Africa countries would start winning the World Cup. Chanzo: Africa Archives Binafsi huwa ninawapenda Watu wenye Dharau, Nyodo na Jeuri Kiasili, ila...
  12. Its Pancho

    Wanaume kwanini tunashoboka kwa wanawake wasiotutaka na wenye nyodo?

    Jumatatu asubuhi mida ya breakfast nilitoroka kwenye ka mishe kangu kidogo nikaenda kufungua kinywa kidogo pale Dodoma kuna mgahawa upo karibu na TRA kwa wanaopajua. Ok twende mbele,au basi mbele kote kwanini huko? Well mdogo mdogo. Nikacheki meza ambayo ni empty lakini nikakosa,kutokana na...
  13. Mkulungwa01

    Umeshawahi kuletewa nyodo na mhudumu wa kike?

    Salaam wakuu! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, katika mihangaiko yako ya maisha ya kila siku, umewahi kwenda sehemu kupata huduma fulani na ukaletewa nyodo na mhudumu husika, kwa sababu tu aidha mmiliki ni mpenzi wake, au vyovyote? Karibuni!
Back
Top Bottom