Shalom,
Kuna wanawake ama mademu wa ajabu sana kijitu kinavaa vichupi uchi uchi maeneo ambayo watu tunabwax kinakupa namba then kinajifanya sijui mbona mapema hivyo kuhusu sex dadake Yesu wewe nyokoa.
Sema sh.ngapi pokea duduz kwenda u gentleman na vichupi hio kwioo, sema ngapi toa samosa...
Kwenye nchi ambazo utendaji wa taasisi hauhitaji masihara, mteule mpya hasherehekei uteuzi wake. Mteule hatumii uteule wake kuwasimanga wengine ama kutengeneza mipasuko. Mteule wa huko hutumia uteuzi wake kutafakari namna atakavyotumikia cheo kipya kwa unyenyekevu na kwa mujibu wa sheria...
Mshumaa uendao kuzima na kupelekea giza nene kwenye nchi yetu ya Tanzania,ni nani wa kuwasha mshumaa huu? Na je ni nani wa kuleta nuru mpya kwenye nchi? Na nini kifanyike kufanya mshumaa huu kung'ara tena na kuleta mwangaza tena kwenye nchi yetu.
Uzalendo unaenda kupotea kwenye nchi yetu sawa...
Ndugu zangu watanzania,
Siasa Ni sayansi na ukikosea katika kanuni huwezi ukafanikiwa kupata jibu hata Kama utakesha usiku mzima unakokotoa, Baada ya kufunguliwa na kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara chadema waliingia majukwaani na mitaani kichwa kichwa, waliingia bila Sera Wala ajenda...
Brothel candles were candles which burned precisely for 7 minutes and were heavily used during Victorian times. The customer paid the fee, lit the candle, and when the candle burned out, his session was over.
Huu mshumaa uliwaka kwa dakika saba. Mteja ndiye aliyekipia gharama za mshumaa...
SERIKALI YARUHUSU WAFANYABIASHARA KUREJEA KARUME KWA MPANGO MZURI.
- Umati walipuka kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan.
- RC Makalla apokea taarifa ya ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza Chanzo Cha Moto.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameruhusu...
Cloudsfmtz "Chanzo cha moto ni mateja ambao tupo nao sokoni Karume ambao wao wanajihusisha na kuuza viatu, unajua pale sokoni kuna moja ya banda ambalo wao huwa wanalitumia kutengeneza mihadarati yao ambayo huwa wanatumia mishumaa kuitengeneza na siku hiyo mshumaa ulianguka na kuanza kuungua"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.