kulia

Kulia is the administrative center and capital of the district of Niutao in the Pacific island state of Tuvalu. Kulia is located in the west of the main island of Niutao. The place has 224 inhabitants as of 2010. Historically, Kulia was known as Tuapa.Kulia has a church of Te Ekalesia Kelisiano Tuvalu, a post office, and school.

View More On Wikipedia.org
  1. Pdidy

    Yusuph Manji: Hans Poppe alinipa wakati Mgumu sana enzi za uongozi wangu

    “Unajua wakati nikiwa Yanga, mtu pekee aliyekuwa ananipa wakati mgumu ni Hans Poppe. Huyu jamaa alikuwa anafanya kazi yake kuonesha kabisa kuwa Dabi inatakiwa kuwa na mvuto, alikuwa akizungumza na watu wanamuelewa, alinipa wakati mgumu sana. “Hata niliposikia amefariki, ukweli kibinadamu...
  2. Half american

    Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

    “Wanashambulia hadi familia yangu, nimemposti mtoto wangu wa kwanza ilikuwa siku ya Birthday yake watu wanaandika ushambaushamba mpaka baba yangu akanipigia simu anasema ‘ni nini hiki mbona sio wewe wanaanza kuingia kwenye familia, nilichomjibu baba ni kuwa nilikosea kucheza Tanzania” Fiston...
  3. N

    Mtoto wa kiume miaka 6 kulia kila saa bila sababu ya msingi

    Wakuu ni hiv..nna rafik yangu anamtoto wa kiume miaka kama 6 hiv. Huyu dada ni singo mama... Huyu mtoto alivyolelewa aisee..au sjui labda wenzetu hawa wa rang nyingne hii ndo style yao Aisee huyu dogo kila kitu analia..akidondosha kitu chake mwenyew analia.. Akivaa nguo analia,..akiwa anakula...
  4. M

    Changamoto ni burudani katika maisha, burudika nazo badala ya kulialia ovyo

    Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema ukitaka ufurahie adhabu basi ukipewa usiione kwa sura ya adhabu bali ona kama ni sehemu kama wajibu wako, kwa mfano ukipewa adhabu ya kumwagilia maua wewe ona ni wajibu wako kufanya hiyo ili maua yakue na kustawi. Changamoto ni burudani kama zilivyo burudani ni...
  5. Webabu

    Vita vinapiganwa nyumbani lakini Mfalme Abdullah aenda kulia Washington ili visimamishwe bila kurusha hata ngumi moja

    Kila vita vya Gaza vinavyokuwa vikali na kuzidi kuangamiza watu na unafiki wa nchi nyingi duniani unazidi kudhihirika. Sauti za kutetea zimekuwa zikisikika sana kutoka Ulaya na Marekani ijapokuwa zina lengo la kuvuta muda Israel afanye anavyotaka bila kuzuiwa. Unafiki unaosikitisha zaidi ni...
  6. Heparin

    Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Ujerumani awekwa chini ya uangalizi kwa kujihusisha na Siasa za mrengo wa kulia

    Shirika la ujasusi la Ujerumani limemweka bosi wake wa zamani Hans-Georg Masen, ambaye sasa ni mwanasiasa wa mrengo wa kulia, chini ya uangalizi kwa ajili ya maoni yenye itikadi kali. Masen leo ametoa barua kutoka kwa shirika la ujasusi la BfV kwa wakili wake baada ya vyombo vya habari vya...
  7. L

    Akiondolewa kwenye cheo hicho ataanza kulia lia tena na kwenda hata kwa viongozi wa dini kumwombea!

    Hafuati taratibu zozote, Ujaji ni wake, uhakimu ni wake, uwakili ni wake, ushauri ndoa ni wake, ukulima ni wake, uzalishaji viwandani ikiweno sukari ni wake, uongozi wa kibabe ni wake, ukada zaidi ya wote ni yeye, kuonewa ni yeye, kutishia ni yeye tu, kutunga sheria za papo kwa papo ni yeye...
  8. GENTAMYCINE

    Makonda umewezaje kulia kwa mama aliyepotelewa na mume ila kwa wazazi wa Ben Saanane ukiwa RC wa DAR hukulia?

    Najua Makonda yuko nasi 24/7 hapa JamiiForums na pia huwa ananisoma sana GENTAMYCINE na hata Chawa wake Waandamizi kuanzia UVCCM, CCM Taifa na hata Serikalini wapo wengi mno hapa. Hivyo nategemea kupata mirejesho mingi kutoka kwao na hata wale JamiiForums Members wengine wanaompenda na kumkubali.
  9. Y

    Nikiwa nimelala nikisimama nasikia maumivu makali upande wa shingo kulia kwenda kwenye bega. Na kugeuza shingo inakua inauma

    Wakuu nina shida, mwanzoni nilienda kwenye polyclinic nikaambiwa nina UTI kali, so nikachoma sindano tano nimezimaliza juzi. Shida ni kua nikiwa nimelala, nikisimama ghafla nasikia maumivu makali yanayotoka kwenye upande wa sikioni kushuka kwenye bega upande wa kulia. Na kitu kingine nikiwa...
  10. Hance Mtanashati

    Wabongo wamchamba kweupeeee Irene Uwoya ,wamwambia aache kulia kinafki yeye ndiye alisababosha Ndikumana afe

    Irene Uwoya baada ya kupost kumbukizi ya kifo cha aliyewahi kuwa mume wake, marehemu Hamadi Ndikumana (Katauti) mashabiki wamemjia juu na kumwambia aache unafiki maana yeye ndiye sababu ya Ndikumana kufariki. Ndikumana na Irene walifunga ndoa mwaka 2009 na kubatika kupata mtoto mmoja wa kiume...
  11. Carlos The Jackal

    Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

    Mijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata, mwanamke ambaye pengine yeye na Familia yake wanalala chini, mlo mmoja, kaletewa nyama ya mbuzi auze kumbe ni ni swala, yeye ni mkemia...
  12. Kabende Msakila

    Wanasiasa wakipiga magoti na kulia mbele zetu tuwahurumie?

    Team, Salaam! Nimeona video moja ya Naibu Waziri anayehudumia akitokea mkoa wa Kagera akiwa ktk mkutano amepiga magoti na kuanza kutoa hotuba huku akilia machozi kama mtoto mdogo. Sasa nachouliza kwa Naibu Waziri huyu mpaka anapiga magoti mbele ya umma wa watu waliohudhuria mkutano wake kuna...
  13. LA7

    Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?

    Nauliza tu maana kwangu mm kitimoto nakula ila Nina ndugu zangu ni waislam Je, Ni sahihi kuchangia au kutumia chombo kilichotumika na nyama ya nguruwe?
  14. Kilimbatz

    Beki wa kulia kisiki Kouassi Yao Attohoula aongoza kwa assists katika mechi tano za NBC PL zilizochezwa mpaka sasa

    Beki huyu kisiki ndiyo litmus paper ya nini na vipi beki wa kulia anavyotakiwa acheze Anakaba,ana dribble,anafanya interceptions za mashambulizi ya wapinzani,anashuka na kupanda kirahisi kwenye flank yake bila kumhatarisha kipa wake. Yao Yao ndo SI Unit ya beki wa kulia aweje...
  15. Mnyakyusa Ipinda

    Msaada: Nilipata ajali mkono wa kulia haufanyi kazi japo nafeel

    Wakuu habari, kama mmeona sikuwa active hapa online, hata kwenye simu kwa wale mliokuwa na my contacts since March. Nitaelezea one day ilikuaje but kwa wale mnaofatilia habari mtakuwa mliona this year March ilitokea ajali mbaya sana ya treni ya Tazara, mtu aliyegongwa it was me, na nilikuwa...
  16. VanDon

    Mashabiki wa Simba na Yanga leo kuna kulia na kucheka au kucheka na kulia

    Leo hii kila shabiki wa timu hizo mbili anafanya maombi ya kupata matokeo mazuri. Nilichokipenda kwenye mechi za leo ni muda mmoja timu zote zinaingia uwanjani. Baada ya dakika 90 mbivu na mbichi zitajulikana.
  17. Bwana Bima

    Naanza kuamini Bundi kulia usiku Mahali palipo na mgonjwa ni ishara mbaya

    Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia...
  18. B

    Kushindwa uchaguzi ni pamoja na kuibiwa kura, kulikoni kulia lia

    Penye ukweli pasi na kujali kambi ni heri kuusema. Vinginevyo tutaendelea kutwanga maji kwenye kinu milele. Hongereni CCM Kwa kushinda chaguzi zenu na kama mabwege yakiendelea kulaza damu kazeni uzi hapo hapo. Kwani malengo ya chama cha siasa nini? Si walisema "the end justifies the means?"...
Back
Top Bottom