king'asti asprin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dkt. Gwajima D

    Taarifa ya Kusitisha huduma za Athuman Kapuya Foundation

    Wasaalam. 4 Juni, 2024, Dodoma. ________________ Athuman Kapuya Foundation ni shirika lililosajiliwa mwaka 2021 ambapo, kwa kipindi chote limetekeleza matakwa ya kisheria ya uwasilishaji wa taarifa na kulipa ada. Kwa mujibu wa usajili wao malengo waliyotekeleza na kupelekea hatua...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kama uliwahi Kuzitumia hizi Pesa basi wewe utakuwa umepita umri wa miaka 40

    Mimi Nimepita zaidi ya miaka 60 nimeshazitumia hizo pesa tangu Enzi wa Baba wa Taifa Mwalim Nyerere kisha akaja Mzee Wa Ruksa Marehemu Mzee Mwinyi.
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Dalili 5 za Mtoto anayechukuliwa na Wachawi Usiku

    DALILI 5 ZA MTOTO ANAYE CHUKULIWA NA WACHAWI USIKU. 1 ANAHUSISHA MATUKIO YA USIKU NA MCHANA Utasikia akisema jana tulikwenda shamba usiku na watu wengi wamevaa nguo nyeusi. Alikuja akaniamsha tukaenda tukaruka kama ndege. Ikiwa story hizi anazieleza mara kwa mara usidharau ukasema ndoto tu...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Nchi 10 Zenye Amani Duniani Tanzania haipo Kwenye Nchi Zenye Amani.

    NCHI 10 ZENYE AMANI ZAIDI DUNIANI Hebu fikiria nchi kumi zaidi zenye amani duniani,unaishi katika moja ya nchi hizo, watu wamestaharabika, hamna vurugu wala uonezi wowote unaofanywa, iwe wao kwa wao na hata serikali zao, zinajali wananchi wake na mali zake,zinawasikiliza wananchi na hamna wizi...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    Rais wa Burkina Faso akopa Tractors 400 ili nchi yake iwe na Maendeleo Mazuri

    BURKINA FASO PRESIDENT TRAORE BOUGHT 400 TRACTORS INSTEAD OF BUYING EXOTIC CARS. SEE THE REASON. https://www.youtube.com/watch?v=tJqaGdf5OLc&ab_channel=InterVlog
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Isiwe Tabu Maiti Zingine huwa zinachukuliwa Msukule imebidi tupate ruhusa kwa vyombo vinavyo husika tumfukuwe Marehemu.

    Isiwe Tabu Maiti Zingine huwa zinachukuliwa Msukule imebidi tupate ruhusa kwa vyombo vinavyo husika tumfukuwe Marehemu Tuhakikishe Je Amekufa kweli ?au amechukuliwa Msukule?
  7. Mshuza2

    LIVE Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

    Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi. Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua? Kufuatilia hali ya kimbunga hiki mubashara bofya hapa: Live Weather Satellite Map | Zoom Earth ==== Pia soma: TMA...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ajali ya bodaboda jijini Mwanza

    Ajali hiyo inaonesha kutokea katika barabara kuu ambapo dereva akiwa na abiria wake walipata ajali na kupelekea pikipiki kuwaka moto, abiria akiwa pembeni huku wasamaria wema wakijaribu kumnasua dereva katika moto.
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Afya ya mwanamke: Vitu vitano mwanamke anatakiwa kujua katika sehemu zake za siri

    kuna imani potofu kwenye mitandao ya kijamii kuhusu sehemu za siri za wanawake, mwanamke mmoja ameamua kujitoa kuelezea masuala hayo. Dr Jen Gunter amekua daktari wa kina mama huko Marekani na Canada kwa miaka 25. Ametoa kitabu hivi karibu kinachoitwa biblia ya sehemu za siri za wanawake...
Back
Top Bottom