Search results

  1. franckkimm

    Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

    Aliyewahi kuwa mtendaji wa Simba Barbara Gonzalez huenda akawa mwenyekiti mpya wa bodi ya wakurugenzi Simba, kuchukua nafasi ya Salim abdallah 'try again' ambaye anatajwa kujiuzulu nafasi hiyo. Source: sportsarena_tz Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
  2. franckkimm

    NDOTO ZA USIKU: Mangungu na mwenzie wanaamini siku ataibuka bingwa kombe la ligi kuu NBCPL

    UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba hesabu zao bado zipo palepale kufanya vizuri kwenye mechi zao kwa kuwa bado kuna nafasi ya kutwaa ubingwa wa ligi. Simba ipo nafasi ya tatu kwenye msimamo ikiwa na pointi 45 baada ya kucheza mechi 19 vinara ni Yanga wenye pointi 52. Meneja wa Habari na...
  3. franckkimm

    HOFU/WOGA: Waarabu Wanamuogopa benchikha vibaya mno!!!!

    Mkuu wa msafara wa Al Ahly Hossam Ghally amesema kizuizi kikubwa kwao kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Simba SC ni uwepo wa kocha Abdelhak Benchikha. Al Ahly inatarajiwa kuvaana na Simba SC keshokutwa Ijumaa Machi 29 kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa...
  4. franckkimm

    UTASHANGAA: Mambo 5 yaliyo sababisha mechi kusimama

    Mpira wa miguu una mambo mengi tena mara nyingine unaweza kushangazwa zaidi na mambo ya ajabu yanayotokea viwanjani na kulazimika mechi kusimama kwa muda. Hutokea wachezaji wakiwa wanapambana kuzitafutia ushindi timu zao jambo lisilotegemewa kutokea na kuwaacha wachezaji wameduwaa. Leo...
  5. franckkimm

    Yanga VS Mamelodi Sundowns I CAF Champions league l Leg 1 I Benjamin mkapa stadium l 29.03.2024

    Yanga inategemewa kucheza na club ya Mamelodi Sundowns (masandawana ) kutoka Africa ya kusini. Yanga Ni moja ya wawakilishi wa TANZANIA kwenye mashindano haya, kila la kheri wananchi.
  6. franckkimm

    Haji Manara: Ahmed Ally ni shabiki kindakindaki wa Yanga

    Katika muendelezo wa tambo mbali mbali za Simba na Yanga pindi ukiotewa pale ambapo pana mshono hakika nawe lazima ukajipange kuja kurudisha mashambilizi. Picha ya zamani ya Ahmed Ally akiwa ameshika kombe la Yanga sasa imetumiwa vizuri na Manara kwenye kuwaaminisha wananchi kuwa Ahmed naye pia...
  7. franckkimm

    Hivi pisi "za kawaida" zanaliwa na akina nani? Wengi wanajisifia kupita na pisi kali tu

    Wakuu, Napitia Sanaa threads nyingi humu MMU, karibia asilimia zote wadau wanajisifia kupita na Pisi Kali TU Sijui, ana shepu, sura ya kuvutia, kalio kubwa nk. Sasa najiuliza hizi Pisi mbovu/ za kawaida wao hawana wapenzi? Binafsi MIMI PISI YANGU Ya kawaida, tunapendana kweli na natarajia...
  8. franckkimm

    Msaada: Kazi ya Supervisor kwenye sheli (petrol station) ni zipi?

    Msaada: Kazi ya Supervisor kwenye sheli (petrol station) ni zipi? Kwa wenye experience na hii kazi tafadhali naombeni uzoefu wenu, natanguliza shukrani.
  9. franckkimm

    Kwanini Simba/ Yanga Kosa lolote lawama ni kwa marefa?

    Hizi timu za Simba na Yanga zipate matokeo au zikose siku zote lawama Ni Kati ya hizi: 1.Upangaji matokeo -Utaskia wale wameshinda kwa sababu timu waliocheza nayo wamewapa kiasi fulani Cha pesa au mchezaji fulani kapewa kibunda ndio maana wameshinda! 2.Refa kauza mechi -Hawa ndio wanapokea...
  10. franckkimm

    Azam FC: Kocha mkuu ni nani, ni Yusuf Fabo au Bruno Ferry?

    Wakuu, Kwanza poleni na majukumu yenu ya kila siku, nipo nasikiliza hapa michezo hapa EA radio, kupitia kipindi Cha michezo kinachoanza kuanzia saa moja usiku huu. Katikati ya kipindi Kuna mjadala UKAZUKA ( kujitokeza ) na kuleta ubishani mkubwa bila kuwa na makubaliano, eti Kati ya Yusuf dabo...
  11. franckkimm

    Naomba msaada juu ya huu ugonjwa wa ngozi

    Vilianza Kama vipele, baadae kukua na nimetumia dawa mbali mbali lakini vinakauka then kurudi, msaada tafadhali kwa anayejua suluhisho coz Ni miaka Sasa nateseka kujitibu Natanguliza shukrani!
  12. franckkimm

    Sababu ya Saido Ntibazonkiza kubaki dirisha hili

    Wakuu, Mpira ni mchezo wa wazi kabisa kila mtu anaona, hakuna mambo ya kuongopeana kabisa. Pili, kwenye nafasi ya kiungo mshambuliaji hususani inside ten (10) wenye uwezo wa kucheza nafasi hiyo kwa ufasaha (angalau 55%) Ni wawili tu CHAMA na SAIDO. Kama kuna mwingine rudia iyo paragraph ya juu...
  13. franckkimm

    Kwanini Simba na Yanga hazigombanii na timu kubwa kwa wachezaji wazuri

    Simba,Yanga Ni timu kubwa ila sijawahi kusikia wanamgombania mchezaji fulani na timu Kama Al ahly, mamelodi, wydad nk.... Ukubwa uko wapi Sasa?????? Pia kwanini hatusajili waarabu huku east?? wakati waarabu wanasajili sanaa mchezaji Yoyote mweusi but awe na kiwango kikubwa. Acheni ufala nyie...
  14. franckkimm

    Benchikha aendelee kumuamini Onana au anapoteza muda wake?

    Nani anabisha? Kabla ya ujio wa kocha Benchikha kutokana na performance ya Onana tuliamini (mashabiki wa Simba) kuwa dirisha hili dogo Onana Hana nafasi ya kubaki Simba Ila toka ujio wa Benchikha Ni tofauti jamaa anajitahidi kwa kiasi chake na kwa nilichomsoma kocha Kati ya wachezaji ambao...
  15. franckkimm

    Ahmed Ally: Kwa sasa Onana ni mali ya Simba SC hakuna ofa iliyofika mezani kwetu kutoka JS Kabylie

    Baada ya kumtambulisha Kiungo Mshambuliaji Ladack Chasambi kutoka Mtibwa Sugar kujiunga nao kwa mkataba wa miaka mitatu, Klabu ya Simba SC imefunguka kuhusu taarifa zinazomhusisha Kiungo wao Mshambuliaji, Willy Essomba Onana, kutakiwa na JS Kabylie ya Algeria. Katika taarifa ya klabu hiya kuwa...
  16. franckkimm

    Eng. Hersi Saidi: Kampuni haitamiliki mali za Yanga SC

    Rais wa klabu ya Yanga Eng. Hersi Said kupitia kipindi cha Jahazi kinachorushwa na radio Clouds hapo jana alieleza namna klabu ya Yanga inavyojiandaa kupokea wawekezaji baada ya mabadiliko ya kikatiba kukamilika kwa asilimia 100 Eng. Hersi Said amesema kuwa kwa mujibu wa mabadiliko ya katiba na...
  17. franckkimm

    Kauli ya Benchikha kuhusu usajili Simba

    Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha ametoa onyo kwa mastaa wa klabu hiyo, ambao wamepewa nafasi nyingi kupitia michuano ya Mapinduzi ambao walikuwa hawapati nafasi ya kucheza kuitumia vyema ili kumshawishi kuweza kuingia katika kikosi chake akiwemo nyota Moses Phiri. Phiri tangu kuanza...
  18. franckkimm

    Kocha anayepokea mpunga mrefu kwenye timu zinazoshiriki AFCON msimu huu

    Mfahamu Kocha anayechukua Mshahara Mrefu kuliko wote kwenye mashindano ya Afcon Msimu huu, Djamel Belmadi wa Algeria analipwa mshahara wa Euro 208,000/= kwa mwezi sawa na milioni 570 za Kitanzania kwa Rate ya Leo. Orodha ya makocha 15 wanaolipwa mishahara mikubwa kuliko wengine Afcon. Djamel...
  19. franckkimm

    FT: Misri 2-0 Tanzania | Mechi ya Kirafiki | Cairo International Stadium | 07-01-2024

    Karibuni tupeane updates ya mchezo huuu na kupeana updates kuanzia mwanzo wa mchezo mpaka tamati ya mchezo. Sent using Jamii Forums mobile app
  20. franckkimm

    Kwanini zaidi ya misimu mitatu(3) Kennedy juma haaminiwi??

    Wanakuja wachezaji wengi wanaondoka ila Kennedy Juma anabakia tena hakuna shabiki ana dout kabisa na hata akipewa nafasi anakiwasha sana. Hata timu ya taifa anaitwa sana, shida iko wapi? Simba tunamuona Mwamnyeto ni beki bora wa Yanga kuliko wachezaji wazawa? Vipi Kennedy Juma sio beki bora...
Back
Top Bottom