Search results

  1. A

    Kubet ni kazi ya watu wenye akili kama huna akili nenda kijijini ukalime viazi mbatata huko

    Watu wengi wanaliwa sana maana wanataka kutajirika kwa pesa ndogo, yani MTU anaweka 500/ odds 300 hapo probability ya kushinda ni ndogo sana tajiri, Weka team zako chache tia mzigo wa kutosha, utanishukuru badae Niwakumbushe kwa mfano match ya Singida Fountain Gate na KMC kwenye ukurasa wa...
  2. A

    Achaa tamaa weka timu chache ushinde bet

    Watu wengi wakisikia neno bet, moja kwa moja wanahuisha na mpira wa miguu, ni kweli wapo sawa ila betting siyo kwenye mpira wa miguu tu hata kwenye michezo kama cricket, basketball, ngumi na michezo mengine, Embu tungalie kwa upande wa mpira wa miguu ambo unaongoza kwakua na mashibiki wengi...
  3. A

    Hii ndio michezo maarufu zaidi ya kubet

    Hapa kuna michezo michache ya kubashiri inayopendwa sana ulimwenguni: 1. Mashindano ya farasi: Hii ni michezo ya kale ambayo imekuwa ikifurahiwa kwa karne nyingi. Ni mchezo wenye msisimko mkubwa kwa anae tazama lakini pia kwa anae cheza, utamu wake upo kwenye kumjua bingwa, michezo hii...
  4. A

    Hizi ndio burudani zetu Tanzania, tunafurahia kweli

    Nikiwa kama Mtanzania na mzalendo niseme tuu hizi ndio burudani zetu watanzania wengi, na endapo ukaona burudani yako haipo hapo una haki ya kuiongeza kwenye comment, Ready to Go 1. Kusafiri: kuembelea maeneo ya kuvutia kama vile Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Mlima Kilimanjaro, Visiwa vya...
  5. A

    Hivi ni kweli kuna kampuni za Ubashiri zinachelewesha Pesa za washindi?

    Mambo vipi Mdau, Naombeni mniweke sawa kuhusu hili. Nasikia kuna kampuni za kikanjanja watu wamepiga pesa lakini mkwanja mpaka sasa kuna baadhi ya watu hawajapata, kama mtu anataarifa zaidi anisaidie, Maana mi kampuni ninayotumia huku ni mtelezo tuu naweka pesa na kutoa. Unyama wa Sokabet huu...
Back
Top Bottom