Search results

  1. falcon Q

    Nitakua mtu wa mwisho kukubaliana na wote wanaosema uwanja wa New Amani stadium ni uwanja bora

    Nitakua mtu wa mwisho kukubaliana na wote wanaosema uwanja wa New Amani stadium ni uwanja bora kuanzia kwenye pitch hadi setting kuanza na taa mpaka kwenye billboards kuzunguka uwanja kama hakuna project ya maboresho na sidhani kama CAF wanawezesha upitisha kutumika kwenye michuano ya...
  2. falcon Q

    SoC04 Establishing, raising and gaining technology immortality in Tanzania

    Overview Since gaining independence Tanzania has been gradually making advancement in various sectors. Tracing back to 1980s when industrial output and capacity utilization declined. The economy was dominated by simple activities mainly for day to day life support. Competitive responses to...
  3. falcon Q

    Which type of ring do you have

    Blessings beliavers and non beliavers Directly to the point on this family issue how do you put your situation among these three types of ring 1. Engagement ring 2. Wedding ring 3. Suffer ring Which one is yous or have gone through all these? And what is your current ring? Mine i thank the...
  4. falcon Q

    Je, una furaha au una raha?

    Salamu ni uungawana. Habari wanandugu niwape pole na hongera kwa Jumapili hii njema kabisa. Na kama miongoni yupo mwenye changamoto ya kiafya basi Mungu amfanyie wepesi akae sawa kwa changamoto zingize tuendelee kupambana. Nina jambo dogo tu tuweze kujifanyia tathimni katika maisha yetu ya...
  5. falcon Q

    AFCON: Tanzania kumenyana na Morocco, DR Congo na Zambia kundi F

    Wanamichezo kama mnavyofahamu leo ndo inafanzika droo ya upangaji wa makundi ya michuano ya AFCON karibuni tupeane update ya zoezi hilo. --- Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepangwa Kundi F katika Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) 2023 itakayofanyika Januari 13 hadi Februari 11, 2024...
  6. falcon Q

    Naomba ufafanuzi wa ugonjwa wa ngozi ya fuvu la kichwa kuvimba (kuwa na manundu)

    Kwa mwenye ufahamu kuna hali imenikuta baada ya kutumia dawa za maumivu za dawa tatu. Nikipapasa kichwani nahisi ngozi ina manundu manundu na hali kama ya kufa gazi hivi licha ya kwamba sihisi maumivu yoyote zaidi kama ka hali flani hv ka ulevi inanipa mashaka. Naombeni mwongozo wataalamu
  7. falcon Q

    Naona bwana Salim Kikeke anaenda kuwa msemaji wa serikali

    Baada ya panga pangua ya leo ya vingozi mbalimbali na nafasi ya Msemaji wa Serikali kuachwa wazi, hisia zangu zinaniambia Bwana Salim Kikeke anaenda kuteuliwa nafasi hiyo. Wasiwasi wangu ni kumwona akijibizana na kina Faiza mitandaoni.
  8. falcon Q

    The squeaking wheel no longer gets the grease

    Kuna kausemo ka lugha ya kigeni kanasema "Squeaking wheels no longer gets the greese" natamani mifumo ya inchi yangu hii pendwa ifate haka kamfumo kwani by nature kuna watu wamelaziwa kulalamika au kupinga kila kitu. Ukiaangalia 90% yao ni watu wenye maslai binafsi wao huamini kwenye kupiga...
  9. falcon Q

    Namtafuta mtu anaitwa Domick Marck Joackim

    Wanabodi salam, Namtafuta mtu anaitwa Domick Marck Joackim Mara ya mwisho aliondoka Dodoma na kuelekea mkoa wa Singida kama miaka minne nyuma. Kwa yeyote anayemfahamu naomba anicheck pm. Natanguliza shukrani za dhati NB: Ni kaka yangu wa tumbo moja kama familia tumejitaidi sana kumtafuta bila...
  10. falcon Q

    DC Arumeru atoa siku saba wananchi kung'oa bangi mashambani

    Wananchi wa Kijiji cha kisimiri Juu wilaya ya Arumeru wamepewa siku saba kung'oa miche ya bangi katika mashamba yao baada ya kubainika kuendelea na kilimo hicho licha ya kupigwa marufuku. Kubainika kwa mashamba hayo katika Kijiji hicho kumetokana na operesheni iliyofanywa na kamati ya ulinzi na...
  11. falcon Q

    Nyoosha bodi & piga rangi nasi

    Je gari yako imepata ajali na unahisi hainyoosheki? Njoo tuirudishie uhai gari yako Ranging je limepauka kiasi likiingia barabarani trafic hawakuachi salama? Usiwaze njoo tukupigie rangi gari yako Usalama je unawasiwasi nao? Usalama ni 100% gari likiwa kwetu Cheap and realiable hutajutia...
  12. falcon Q

    Je, hili tatizo ninalo peke yangu?

    Habari wadai I hope jtatu iko jema kwenu Nina tatizo ambalo nikiri sijawahi kulisikia kwa mtu yeyote nimeamua kuliweka hapa kama yupo mwenye tatizo kama langu au mwenye ufahamu a share experience yake. Iko hivi huwa napatwa na shambulio la moyo pindi nking'atwa na nyuki au nyigu (bee & wasps...
  13. falcon Q

    Tahadhari kwa waumini wa easy money

    Kuna company inajiita Anzaleo technologies wazee wa networking and money making. Wanamtumia mtu anayejitambulisha kwa jina LA madamu Zuu na huanza kukutext sana sana nadhani WhatsApp kama ifuatavyo "Mambo vipi My name is[emoji117] MADAM ZUU[emoji257] From[emoji117]: DAR ES SALAAM Ningependa...
Back
Top Bottom