Bora nifanye kazi na wasukuma au watu wa dar, pwani, tanga au kigoma, wengine siwajui vizuri. Lakini ukiniambia watu wa kaskazini hapana aise, japo sio wote.
Tapeli achukuliwe hatua, tena aswekwe ndani kabisa, ila mhindi mmoja anaesadikika ni tapeli isiwe ndio sababu ya wengine/civilians kutomiliki maeneo, acha ubaguzi, ardhi ni ya Mwenyezi Mungu na sio ya john wala Abdallah pekee.
Naahene nkoi
Kweli wabongo wengi ni waoga sana, wakaishi nchi zenye vita wakajifunze kitu.
Yani mtu anaungua halafu unamwangalia hata kutoa msaada wa kumvuta na kumuweka pembeni! Hii ndio Afilika Afilika
Mtu anapita na gari why asitoe msaada wa fire extinguisher!
Cha ajabu pia wanazima huku wanamuangalia akiungua badala wamvute na kumuweka pembeni.
Boda boda acheni kuendesha speed, leo yametokea hayoo, cha ajabu others hawajifunzi.
Waige nchi za kiislamu, mfano OMAN siku hiyo hakuna kazi, watu wanapumzika bila kufanya hayo uliyoyata, if kama nikweli!
Sisi bongo Mawlid wanaifanya sivyo, kitu ambacho hakipo kabisa, kama umeisikiliza hiyo clip niliyopost utaelewa.
Sorry, sio sikukuu.
Bali nilikusudia kupata live/ijaza kwa waislamu kote duniani
Je imethibiti kusoma Mawlid katika sunnah?
https://youtu.be/E6XEl0cUt9Y?si=FhpHwBrk2I5WqfOH
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.