DOKEZO Mhindi tapeli wa viwanja Kigamboni, anataka kutapeli wananchi kwa kutumia makampuni hewa 4

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Anatabia ya kuuza kitu halafu, anakuja sema document zake zimepotea , na anaenda chukua loss report kabisa hata kutangaza kwenye magazeti ya serikali. Hapa anadai kupotelewa na card za magari kibao, yote anayafanya maana kashakopea huko izo card, then anadai zimepotea. pitie izi documents , mtaona tu huyu mtu hana nia njema. Vyombo husika vimuangazie asee. Makampuni tajwa yachunguzwe.
View attachment 2985276
Hii michezo kama kaizoea, anavuruga kila upande, sa we mtu mmoja unapotelewa na mali kila siku wewe tu, daah, Waziri alione suala letu, na bado tunamtafuta
 
IMG-20240509-WA0002.jpg
 
Au faili la hayo malalamiko "linafichwa" na maafisa wa hapo ardhi ili lisimfikie waziri, maana pia kuna uwezekano mkubwa "kanjibai" ana watu wake hapo ardhi, maafisa ndo wanamlinda.
Ishu kubwa hapo ni kumfikia waziri moja kwa moja, yaani direct. Inatakiwa wapate namna ambayo itawawezesha kumfikia mhe waziri directly, eidha kwa kupitia mawasiliano yake binafsi (eg kumtumia hayo malalamiko kwenye e mail yake binafsi, au kwa WhatsApp kwa namba yake binafsi) au kwa kuwa connected na mtu wake wa karibu.

Mkuu taheltz jaribu kumcheki Mh Jerry Silaa kwa namba yake hii 255758855850, au e mail yake j.silaa@gmail.com

Pia, unaweza tumia fomu hii hapa (nimeambatanisha), ambayo ni ya wizara ya ardhi kujaza malalamiko yako, na kuituma kwenye e mail ya waziri ya ofisi war@ardhi.go.tz. (Japokua hii pia inaweza fichwa na maafisa wa hapo wizarani kama anao wanaomlinda).
Nashauri kwa sasa utumie multiple ways za kumfikia Waziri, ili yoyote itakayojibu ifanikishe kumfikia. Njia pekee ya hili suala kupata ufumbuzi ninayoiona ni kwa hili jambo kufanyiwa kazi na Mh Silaa yeye mwenyewe direct, otherwise hamtoboi. Pole sana mkuu
Huu ni msaada muhimu umempa. Kazi kwake sasa muhusika.
 
Yes, sahihi mkuu, hiyo nayo pia inawezekana kabisa, washenzi kama hawa huwa wana kamtamdao kapana. Hawachelewi kuweka watu wa serikalini mifukoni 🤣

Umemshauri vema, aanzie hapo
 
Habari ndugu zangu, nimekutana na utapeli wa kiwanja maeneo ya Kisota Kigamboni.

Mpaka sasa nipo njia panda kupata haki yangu pamoja na wahanga wenzangu zaidi ya 10, ambao tumenunua
viwanja hivyo kwa nyakati tofauti tofauti bila kujuana., ni zaii ya 300m tunataka kutapeliwa, maana viwaja maeneo yale bei ipo juu.

Kwa kifupi tulinunua viwanja hivyo katika kampuni nne tofauti zinazomilikiwa na mhindi mmoja anayejulikana kama SYED ABBAS RIZIV jina maarufu anaitwa ABBAS

Majina ya kampuni zake anazozitumia katika utapeli ni
1) Interflow commercial (T) Limited
2) Rubab Investment
3) Jasman East Africa limited
4) Multimodal transport Africa lImited

Kipindi tunanunua tulifuata taratibu zote za manunuzi, kwa sababu viwanja hivyo vilikuwa na hati, tulienda kufanya search manispaa , na kupita kila sehemu palipohitajika, hadi tukafikia kupata approval ya manispaa katika harakati za kufanya transfer, yani viwanja tumepewa na hati original kabisa na tulizikagua na kuna baadhi walizibeba hadi wizarani zikakaguliwe na zilitambulika ni halali

Katika kipindi cha ununuzi kuna baadhi yetu tulifika katika ofisi za kampuni husika kwa kuelekezwa na madalali, na ili ufike hapo ofisini lazima kuwepo appointment, bila hivyo huingii.

Wakiwa na appointment na wewe, unakuta ofisi kabisa na bango la kampuni, mnazungumza biashara, ila ikifika mahali kwenye malipo, basi mhusika bwana Abbas anasema kampuni tunaifunga kwa hiyo anakupa account nyingine tofauti na ya kampuni ili ufanye malipo, ili kujiweka safe side baadhi yetu walitaka Abbas mmiliki wa kampuni hizo ku-sign, kwamba anaruhusu malipo yafanyike katika accout tofauti za kampuni

Kwa utaratibu huo tumejikuta wengi tukinunua na wengine kununua kupitia kwa mwakilishi wake anayefahamika kama Juma Nkumbi

Mgogoro unaanza baada ya huyo Abbas kukamilisha mauzo ya viwanja vyote. Jamaa anaruka futi 100 kwamba hajauza kiwanja chochote ili hali, kwenye mauziano baadhi alikuwepo mwenyewe na mauziano mengie alikuwa akisimamia muwakilishi wake

Jamaa ili kutuvuruga akaenda kuwekea caveat viwanja vyote, akizuia transfer zote na hapo akafungua kesi kimya kimya bila kutujulisha ili asikilizwe upande mmoja.

Kipindi anaweka mazuio kila mhanga alikuwa anahangaika kivyake ndipo tukaanza kujuana ni kundi kubwa la watu analichezea mchezo na ndipo tukagundua kwamba kuna kesi zishafunguliwa ya kila mmoja

Baada ya kukuta tumefunguliwa kesi kila mmoja wetu hapo ndipo tuka-organize iwe kesi moja, na jamaa alipoona kesi inamshinda, akaanza visa vya kuchelewesha kesi kuanza kusikilizwa, kila siku anakuja na jipya maji yalipo fika shingoni, kesi yenyewe akaifuta kabisa ila caveat/zuio la kuendelea na transfer hakulitoa.

Kutokana na kuifuta kesi hiyo, ikabidi sasa tumshitaki yeye, why anaweka mazuio ili hali na kesi kashafuta. Baada yakuona tumemfungulia kesi amekuja na sababu tele mahakamani akizuia kesi tuliyomfungulia isisikilzwe, yani anavuta vuta muda, na haoneshi nia ya kumaliza kesi na sisi tum- stack zaidi ya mwaka na miezi kadhaa

Visa nje ya mahakama, anaweka walinzi wengi kwenye maeneo yetu, na hata walioanza ujenzi materials zimeanza kuoza, ni hasara kubwa. Anatusumbua na kututesa watu wengi bila mashiko.

Tumeandika barua nyingi kwa vyombo husika wachunguze hizi kampuni zake maaana zimekaa kimichongo, hazilipi kodi, yani kampuni zote zinatumia ofsi moja, na bango la ofisi linabadilika kulingana na mteja wa siku hiyo, na ofsi inafunguliwa kwa appointment maalum

...............
Katika kufuatilia tumegundua jamaa ana kesi nyingi zinazofanana na hizo, na pia ameshatangaza hati zake zimepotea katika magazeti ya serikali, ili hali sio kweli hati tunazo sisi
.....
Ombi langu pamoja na wenzangu , tuanomba jambo hili mliangazie ikiwemo wawakilishi wa vyombo husika vya ardhi, takukuru, TRA na hususani mheshimiwa waziri ambae tumeshafanya jitihada za kumtafuta bila mafanikio , ili aliangazie suala hili kwani sio suala la mtu mmoja, linagusa zaidi ya watu kumi , hivyo kuwa kero kubwa kwa sisi kama wananchi

makampuni haya manne yachunguzwe vizuri , inaonekana yameanzishwa kutapeli na kusumbua wananchi

Majina ya kampuni ni
1) Interflow Commercial (T) Limited
2) Rubab Investment
3) Jasman East Africa limited
4) Multimodal transport Africa lImited

Mtu huyu anaetusumbua ni mhindi anaejulikana kwa jina la ABBAS na hata mawasiliano yake ni 0778 999 999 na msaidizi wake ni 0754 022 897

Hawa watu hawana nia njema na sisi wanatupiga chenga kila siku jambo lisiishe, na wengi hatujui hatima yetu maana viwanja tumenunua ili kujistiri na familia zetu , ila mwaka sasa umeisha jamaa wanatukimbia kimbia mahamani
.....
Natanguliza shukrani, naomba wahusika walifuatilie hili maana ishakua kero ya wananchi

Natanguliza shukrani, Asanteni sana, naombeni ushirikiano wenu
Poleni sana, bila kupepesa nendeni kwa Jerry Slaa atamaliza hili jambo ndani ya mwezi mmoja. Kama namba yake huna, nifuate nitakupa.

Ova
 
Eneo kubwa la kigamboni maeneo ambayo ni potential & premium yanamilikiwa na wenye asili ya wahindi,waarabu au wapemba mfano Scaba Scuba, Akbar, Oil com, Dar es salaam zoo, fun city, water com, Alimu, Manji, Maridori na wengineo.

Ndugu zangu shikamaneni muwe na umoja pambaneni na huyo Abbas, huyo jamaa ni tapeli kipindi cha Magu alikimbia kigamboni naona Sasa amerudi kwa kasi.

Tapeli achukuliwe hatua, tena aswekwe ndani kabisa, ila mhindi mmoja anaesadikika ni tapeli isiwe ndio sababu ya wengine/civilians kutomiliki maeneo, acha ubaguzi, ardhi ni ya Mwenyezi Mungu na sio ya john wala Abdallah pekee.

Naahene nkoi
 
Kesi za aridhi hapa bongo raia wa chini huwa wananyanyasika sana, tena kama ukikuta mtuhumiwa(dhulumati) ni mgeni au hata kama ni mtanzania ila mwenye asili ya kigeni aisee wewe mswahili ohe ahee ni ngumu sana kutoboa hususani kwa serikali hii tuliyonayo sasa.
 
Au faili la hayo malalamiko "linafichwa" na maafisa wa hapo ardhi ili lisimfikie waziri, maana pia kuna uwezekano mkubwa "kanjibai" ana watu wake hapo ardhi, maafisa ndo wanamlinda.
Ishu kubwa hapo ni kumfikia waziri moja kwa moja, yaani direct. Inatakiwa wapate namna ambayo itawawezesha kumfikia mhe waziri directly, eidha kwa kupitia mawasiliano yake binafsi (eg kumtumia hayo malalamiko kwenye e mail yake binafsi, au kwa WhatsApp kwa namba yake binafsi) au kwa kuwa connected na mtu wake wa karibu.

Mkuu taheltz jaribu kumcheki Mh Jerry Silaa kwa namba yake hii 255758855850, au e mail yake j.silaa@gmail.com

Pia, unaweza tumia fomu hii hapa (nimeambatanisha), ambayo ni ya wizara ya ardhi kujaza malalamiko yako, na kuituma kwenye e mail ya waziri ya ofisi war@ardhi.go.tz. (Japokua hii pia inaweza fichwa na maafisa wa hapo wizarani kama anao wanaomlinda).
Nashauri kwa sasa utumie multiple ways za kumfikia Waziri, ili yoyote itakayojibu ifanikishe kumfikia. Njia pekee ya hili suala kupata ufumbuzi ninayoiona ni kwa hili jambo kufanyiwa kazi na Mh Silaa yeye mwenyewe direct, otherwise hamtoboi. Pole sana mkuu
Aisee. Sasa nchi yenye watu karibia milioni 70 na ukiwa na tatizo yupo mtu mmoja tu wa kumtegemea kuweza kutatua, si kichekesho cha karne hiki? Tutafika kweli? Halafu wananchi hawa hawa ukiwaambia wapigane ili mfumo wa uongozi ubadilike wanasema wao siyo wanasiasa!
 
Kesi za aridhi hapa bongo raia wa chini huwa wananyanyasika sana, tena kama ukikuta mtuhumiwa(dhulumati) ni mgeni au hata kama ni mtanzania ila mwenye asili ya kigeni aisee wewe mswahili ohe ahee ni ngumu sana kutoboa hususani kwa serikali hii tuliyonayo sasa.
Wacha wanyanyasike kabisa. Wamezidi ukondoo! Nchi inakuwa na raia waoga utadhani ni kunguru!
 
Hii kesi nendeni kwa Jerry Sla muda huu kabla giza halijazama, kesho asubuhi mapema Jerry Sla atakuwa kigamboni anatatua hii kero na huyo mhindi atasanda na atarejesha kila stahiki zenu.

Mhindi anauzaje viwanja kwanza tuanzie hapo, kwan kuna watanzania wanauza viwanja India?
 
Eneo kubwa la kigamboni maeneo ambayo ni potential & premium yanamilikiwa na wenye asili ya wahindi,waarabu au wapemba mfano Scaba Scuba, Akbar, Oil com, Dar es salaam zoo, fun city, water com, Alimu, Manji, Maridori na wengineo.

Ndugu zangu shikamaneni muwe na umoja pambaneni na huyo Abbas, huyo jamaa ni tapeli kipindi cha Magu alikimbia kigamboni naona Sasa amerudi kwa kasi.
Kwahyo tunakubaliana Magufuli alikuwa mtetezi wa wanyonge na sasa tunakiri kuwa mashetani yameanza tena kusumbua raia huku mama yenu akiyatetea bila kuyafanya chochote.
 
Wacha wanyanyasike kabisa. Wamezidi ukondoo! Nchi inakuwa na raia waoga utadhani ni kunguru!
Kaka inasikitisha na inatia hasira sana, watanzania wengi wanadhulumiwa aridhi na hao wadhulumati wanashirikiana na watumishi wa serikali waliopewa dhamani kwenye kada husika... hata ukisema upambane nao kama haulingani nao kiuchumi unakuwa unafanya kazi bure, sana sana utaichelewesha tu hiyo dhuluma, mimi mwenyewe mzee wangu ni muhanga... kuna eneo letu tumeanza kufuatilia hati tangu 2017, tumepigwa dana dana weeee, imefika 2021 mara tukashangaa anapewa mtu mwingine kabisa akaanza na ujenzi ndani ya wiki hiyo hiyo tangu akabidhiwe... tukakomaa mpaka kwa mkuu wa mkoa akatoa stop order, mpaka hivi sasa ninavyoandika lile eneo bado liko vile vile na muafaka bado haujapatikana mpaka mzee wangu anaelekea kukata tamaa... japo wanae tunamtia moyo na kumsaidia kadri tuwezavyo.

Kaka kuna unyanyasaji mkubwa sana unaofanyika kwenye aridhi nchi hii.. acha tu
 
Poleni sana.
Inauma sana Mhindi gabacholi anatoma India anakuja kusumbua wananchi Tanzania. Ingekuwa huko kwao wangeshamlamba risasi.
Watanzania ni waoga sana. Inabidi kufanya maamuzi magumu wakati mwingine kama Hamza.
Haya mambo yanachosha sana
Hii kesi Jerry Sla ataimaliza fasta sana. Ngoja ifike mezani kwake mtaona ITV na kwa Millard Ayo.
 
Back
Top Bottom